Nyaru-sare
JF-Expert Member
- Aug 2, 2019
- 5,261
- 3,669
Hata yeye anaweza jaribiwa na Shetani! wkt mwingine shetani aweza tumia sura yake ili wengi wapotee! km wewe! na je km alitubu?akionekana waziwazi na waumini jinsi anavyomtazama kwa jicho la matamanio mmoja wa waumini wa kike aliyeketi kiti cha mbele!
wewe unaiga tu, blinded kwani hiyo Biblia yenu ina sema wao hawata jaribiwa? usipende kuambiwa saaana! think first