Kisutu: Mkurugenzi Mtendaji wa Halotel afikishwa Mahakamani kwa uhujumu uchumi

serikali hii ingekuwa inajali teknolojia bas kila kitu kingekuwa online kwenye website ya Mahakama

kwa kuwa swerikali haipendi transparency bas tuendelee kuunganisha unganisha mpaka kasha kutwa litakapotoka tangazo kwenye magazeti
Mkuu unachanganya madesa halafu unalaumu, unajipa stress na matatizo ya kisaikolojia bila sababu. Mambo ya Mahakama kuwa Transparent yana mahusiano gani tena serikali kuwa transparent ?! Na mbona hujafuatilia hata kosa kwenye media ITV au umeona utakosa leo chambo cha kutumia Kurusha LAWAMA - maana tunawajua ninyi tayari ni wazee wa Lawama na Malalamiko
 
Charge /charger sheet please!

Charge sheet kupewa mpaka uhonge askari. Lijualikali kasema bungeni juzi kwamba kupewa nakala ya mashitaka yako au hukumu lazima uhonge.

Hata CNN huwa wana kitu kinaitwa developing story, yani dondoo ya habari ime break mchana huu Kisutu.

Itoshe kwa sasa kusema amehujumu uchumi.
 
I was waiting for this to happen! Halotel ni majangili sijui kwa nini hata serikali iliwaachia waingie vijijini kujidai wanafunga mitambo ya simu? Wametuibia sana hawa mbusi.
Serious???
Habar mpya hii.
Kuna wakat nilikua nawaona mbuga ya mikumi wanatandaza nyaya zao.
So huenda ni UJANGILI?
Kesho tutaskia tu
 
Haki itendeke. Halotel mkombozi wa mawasiliano Tanzania, wamejitahidi sana kutufikia hadi vijijini, kama vipi serikali iwalipishe hiyo hasara, then hivyo vifaa waamriwe kuvisajili na kuwapa onyo kali, wakirudia tena adhabu iongezwe..
Kwaiyo unatetea uhalifu mkuu?

Jaribu kwenda Vietnam au Pakistan halafu ukafanye kama walivyotufanyia sijui kama utabaki salama.

Tanzania ilishafanywa shamba la bibi na wametupiga sana. Waache wakanyie debe ili iwe fundisho kwa wengine.Segerea na keko sio kwa wezi wa kuku tu hata hawa wahujumu uchumi
 
Kwaiyo unatetea uhalifu mkuu?

Jaribu kwenda Vietnam au Pakistan halafu ukafanye kama walivyotufanyia sijui kama utabaki salama.

Tanzania ilishafanywa shamba la bibi na wametupiga sana. Waache wakanyie debe ili iwe fundisho kwa wengine.Segerea na keko sio kwa wezi wa kuku tu hata hawa wahujumu uchumi
Naunga mkono Mkuu.......... Tz waligeuza shamba la bibi.
 
Back
Top Bottom