Kisukari ndo adui namba 1 kwa ndoa

Mkuu;
Nashindwa kukuamini. Nina rafiki yangu sukari ikishuka saana inakuwa 25 lakini, mara 2 kafumwa na mkewe akilamba wake za watu. Tena jamaa yuko kwenye 57yrs. Unasema ati ni adui wa ndoa huyu adui ya ndoa yake nnani?? Mkeo ajitahidi kupunguza maneno wakati wa 6x6, aongeze utundu. Lakini ka ni wale wa kulala ka gogo na kukuambia ukimaliza funika hakika hutaweza.
Mechi huhitaji utundu ili lengo lifikiwe. Kumbuka, mliahidiana kuvumiliana kwenye heri na shari pia. Kisukari kingelikuwa kinaambukizwa ka Std wengi weshuawa kwa sababu ya hofu ya kuchapiwa
Haha sukari 25 Huyo angekua kalazwa hospitali
 
Life style yetu wabongo ni mbaya sana. Unakuta mtu anaamka asubuhi anaoga anaigia kwenye gari anaenda kazini, huko akifika anaagiza supu kubwa na chapati tatu zakushiba alafu ubaya akimaliza anaagiza na soda anashushia, anarudi kwenye computer mpaka mchana hapo anatoka lunch anaagiza chips zege lakutosha na mishkaki au kuku nusu na anashushia tena na soda.

jioni anaingia garini mpaka nyumbani huko akifika anachukua simu yake anaingia jf au fb na mitandao mingine anakodoa kodoa anaoga hapo anakula sahani ya wali na nyama zakutosha kisha anakunywa maji glass moja analala.. Na mzunguko ndio huo huo kila siku.. Sasa jiulize hata kama hujasoma masuala ya afya kwa mwenendo huo unategemea nini?

Fanya maamuzi sahihi, hujachelewa bado, change ni wewe. Anza sasa, you are what you eat and what you do!!
 
Tuweni wakweli kabisa. Mwanaume anayepiga moja hoi, bado linaonekana tatizo. Sembuse unapoumwa kisukari???? Jamani wenye kunielewa zingatien. Wabishi shauri yao
 
Sukari ya kiwango ulichoonyesha ni kubwa mno. Imesha toka kwenye normal range. Normal range ni 5-9 kama nakumbuka vizuri.

Kwa watu wasio na ugonjwa sukari inatakiwa kuwa kati ya 4 hadi 6 mmol/L.
 
Haha sukari 25 Huyo angekua kalazwa hospitali

Usidhani nasema tu ila wenzio inafika 30 na bado wanadunda njiani bila hofu. Weshaizoea. Huoni ajabu magonjwa ya kiherehere wanapewa ARV za bure wakati kisukari kisichojulikana kilipotoka au kwa nini kiwapate watu wanapewa ushauri wa mazoezi kama kwamba walilala vitandani?? Ushauri mwingine nafuu usingelisemwa tu. Kondom ziligawa bure, ARV bure na bado ukimwi upo pale pale. Wapunguze kidogo dawa za kisukari watu wazimudu. Kama huna fedha, unajifanya huutambui tu na Mola anakusaidia
 
eti washaizoea? Wewe Ivi unaujua vizuri huo ugonjwa???
 
eti washaizoea? Wewe Ivi unaujua vizuri huo ugonjwa???

Dadaa;
Siambiwi ninae ndani ya nyumba. Nina marafiki wengi tu, ninakuambia live. Hatuuogopi tena huo ugonjwa tena tumeudharau kama serekali ilivyo udharau
 
Back
Top Bottom