Konda wa bodaboda
JF-Expert Member
- Jul 18, 2014
- 7,981
- 4,169
Kwahiyo kutokujua hilo kuna uhusiano gani na swali lako?Ni kutokujua kwako kuwa TAMISEMI ipo ofisi ya Rais, nasi waziri mkuu kama unavyofikiri
Kwahiyo kutokujua hilo kuna uhusiano gani na swali lako?Ni kutokujua kwako kuwa TAMISEMI ipo ofisi ya Rais, nasi waziri mkuu kama unavyofikiri
basi haina haja ya kua na wazir wa tamisemi sabab raisi ana-assume all duties. Nisawa na headmaster wa shule awe anafanya kaz za accademic eti kwasabab tu shule iko chini yake. Nonsense.Wizara ya TAMISEMI inaongozwa na Rais mwenyewe na ndiye mwenye Mamlaka ya kuwateua hao wote na si Waziri Mkuu kama ilivyokuwa zamani wakati wizara hiyo ikiwa chini ya ofisi ya waziri mkuu. Mambo yanabadilika bwana ebo!!!!
Acha ubishi sasa hivi TAMISEMI ipo chini ya ofisi ya Rais, usikariri.back to schooll.
swissme
NDIYO SIO NDOAcha ubishi sasa hivi TAMISEMI ipo chini ya ofisi ya Rais, usikariri.
Wewe ndo urudi shuleni
UbishiSio kweli, TAMISEMI iko chini ya ofisi ya waziri mkuu.
acha kukariri dogo!Sio kweli, TAMISEMI iko chini ya ofisi ya waziri mkuu.
zero brainKwani wizara gani haipo chini ya Rais?
unavojua wewe wakurugenzi ulitaka wateuliwe na nani?Kwahiyo siku akiweka wizara ya mambo ya ndani ktk ofisi ya raisi basi Ma Rpc, OcD atawateua yeye pia?
dogo acha ligi ndogo ndogoKwahiyo kutokujua hilo kuna uhusiano gani na swali lako?
Kila Rais huja na utaratibu wake wa kiutendaji kazi, ni kweli hapo awali jukumu hilo lilikuwa chini ya w/mkuuMimi kwa uelewa wangu Mhe. Rais ana mamlaka ya kuwateua Wakurugenzi wa MAJIJIJI tu. Wakurugenzi wa Manispaa, Wilaya na Miji wanateuliwa na Mhe.Waziri Mkuu. Mimi nashauri kama ndiyo utaratibu basi wenzetu wa Utumishi wa Umma hawakumshauri Mhe.Rais kwa kufuata sheria, taratibu na kanuni kitu ambacho ni dosari kubwa sana. Lazima nchi iongozwe kwa kufuata sheria, taratibu na kanuni.
Upo pori gani mkuu?? Pori la kigosi moyowosi au??Sio kweli, TAMISEMI iko chini ya ofisi ya waziri mkuu.