Kisanga! Mamlaka ya Kodi Ghana yazuia akaunti za Bilionea aliyemlipa Diamond aimbe kwenye Birthday

Vipi, kwa level yake hizo ni nyinyi sana au ni ndogo sana? Ndipo bargaining team yake ilipofika kimakubaliano na ndiyo standard aliyojiwekea na anayoona anastahili kwa kiwango alichonacho na demand ya soko kwenye biashara yake ya entertainment. Kumbuka Diamond ndiye msanii aliyelipwa zaidi ya wasanii wote walioalikwa kwenye hiyo sherehe akifuatiwa na Davido.
Ni uongo hawezi mfikia davido
 
Kwa akili yako unaona kwenye sherehe ya wageni 1,500 Diamond kalipwa dola 600,000 kwenye bajeti ya dola 2,000,000?

Yani Diamond alipwe 30% ya bajeti nzima, bado kuna Davido ambaye kimziki ni mkubwa kuliko Diamond naye alipwe lets say 40% ya bajeti kisha kinachobaki ndio kigharamie ukumbi, vyakula na vinywaji, wasaani wengine, etc?

Mbona hesabu ndogo tu zinakataa.
 
Yani hizi serkali hazitaki watu tupumue baada ya kuhaso, ukijienjoy kidogo tu washakuja kutaka kodi kubwa wanahis unawaibia jau kweli.
 
Mamlaka ya Mapato Ghana (GRA) imeanza uchunguzi wa mtindo wa maisha wa bilionea Richard Amarh-Quaye baada ya kufanya sherehe ya kifahari ya kuzaliwa yenye iliyogharimu dola milioni 2, ikihusisha safari ya ndege binafsi.

Soma: Baba Levo adai Diamond amelipwa TSh. 2.7 Bilioni kutumbuiza kwenye birthday ya Bilionea Ghana

Kutokana na masuala ya kodi, akaunti zake za benki zinaripotiwa kuzuiwa.

Kwa mujibu wa The High Street Journal, akaunti za benki za Richard Amarh-Quaye, mwanzilishi wa Bills Micro Credit na mmiliki wa biashara nyingine kadhaa, zinaripotiwa kuzuiwa kutokana na wasiwasi kuhusu kutokuwiana kwa taarifa zake za kodi.

Party hiyo ya kifahari ilihusisha wasanii wakubwa Afrika na Dunia kama Davido, Diamond Platnumz na wengine ambapo imeripotiwa kuwa haya ndio malipo ya Wasanii walioimba kwenye bata hilo la birthday ya Bilionea "Richard Quaye".

Diamond amelipwa $600k sawa na Tsh Bilioni 1.6/, Davido amelipwa $500K sawa na Tsh Bilioni 1.3/=) huku kwenye birthday hiyo hiyo Shatta Wale na Sarkodie ambao ndio waimbaji Mastaa wa Ghana wamelipwa $200K (Tsh Milioni 532+).

Soma: Msanii wa Ghana Shatta Wale agomea show kwa $200,000 baada ya kugundua Diamond kalipwa $600,000 (Tsh Bilioni 1.5) na Davido $500,000 (Tsh Bilioni 1.3)

Tazama Davido klitumbuiza kwenye sherehe ya miaka 40 ya kuzaliwa kwa bilionea Richard Nii Armah Quaye.

Credit: Pulse.com.gh

===

Richard Amarh-Quaye’s $2M birthday bash and luxury jet spark GRA probe as Ghana eyes lifestyle audits to curb unexplained wealth.

According to The High Street Journal, the bank accounts of Richard Amarh-Quaye, founder of Bills Micro Credit and proprietor of numerous other businesses have allegedly been frozen due to concerns surrounding inconsistencies in his tax declarations.

The news website reports sources close to the matter as having revealed that Amarh-Quaye, who is believed to be linked to 29 separate companies, has come under scrutiny for tax filings that do not correspond with the financial obligations he is expected to meet. The freezing of his accounts comes shortly after he held a lavish 40th birthday celebration, which has drawn widespread attention online. Some sources have estimated the event's cost to be as high as $2 million.

Prior to the birthday party, attended by roughly 1,400 guests, Amarh-Quaye recently acquired a custom-branded private jet and a Bugatti Chiron. The announcement stirred debate across both traditional and social media platforms, prompting questions about the legitimacy of his wealth.

In response to the controversy, Bills Micro Credit issued a public statement clarifying its stance:

This latest development remains a matter of keen public interest.
Kama diamond tu na davido wamekula zaidi ya dola milioni 1 utasemaje sherehe ni ya dola milion mbili!
Alafu GRA ya Tanzania inasemaje kuhusu kibunda cha diamond?
 
Mkuu wazee wa kuzuia utakatishaji wa fedha wakiamua lao huna pa kukwepa. Na hasa kwa Diamond mwenye taasisi anazomiliki. Wanaweza funga account zote mpaka maelezo ya kutosha yapatikane
Diamond labda ufunge talanta yake ..........ila anaweza kuwakataa kwamba alilipwa baada ya show.........sasa nyie wenyewe ndio mtajua msuke au mnyoe...........na pesa haina dhambi
 
Mamlaka ya Mapato Ghana (GRA) imeanza uchunguzi wa mtindo wa maisha wa bilionea Richard Amarh-Quaye baada ya kufanya sherehe ya kifahari ya kuzaliwa yenye iliyogharimu dola milioni 2, ikihusisha safari ya ndege binafsi.

Soma: Baba Levo adai Diamond amelipwa TSh. 2.7 Bilioni kutumbuiza kwenye birthday ya Bilionea Ghana

Kutokana na masuala ya kodi, akaunti zake za benki zinaripotiwa kuzuiwa.

Kwa mujibu wa The High Street Journal, akaunti za benki za Richard Amarh-Quaye, mwanzilishi wa Bills Micro Credit na mmiliki wa biashara nyingine kadhaa, zinaripotiwa kuzuiwa kutokana na wasiwasi kuhusu kutokuwiana kwa taarifa zake za kodi.

Party hiyo ya kifahari ilihusisha wasanii wakubwa Afrika na Dunia kama Davido, Diamond Platnumz na wengine ambapo imeripotiwa kuwa haya ndio malipo ya Wasanii walioimba kwenye bata hilo la birthday ya Bilionea "Richard Quaye".

Diamond amelipwa $600k sawa na Tsh Bilioni 1.6/, Davido amelipwa $500K sawa na Tsh Bilioni 1.3/=) huku kwenye birthday hiyo hiyo Shatta Wale na Sarkodie ambao ndio waimbaji Mastaa wa Ghana wamelipwa $200K (Tsh Milioni 532+).

Soma: Msanii wa Ghana Shatta Wale agomea show kwa $200,000 baada ya kugundua Diamond kalipwa $600,000 (Tsh Bilioni 1.5) na Davido $500,000 (Tsh Bilioni 1.3)

Tazama Davido klitumbuiza kwenye sherehe ya miaka 40 ya kuzaliwa kwa bilionea Richard Nii Armah Quaye.

Credit: Pulse.com.gh

===

Richard Amarh-Quaye’s $2M birthday bash and luxury jet spark GRA probe as Ghana eyes lifestyle audits to curb unexplained wealth.

According to The High Street Journal, the bank accounts of Richard Amarh-Quaye, founder of Bills Micro Credit and proprietor of numerous other businesses have allegedly been frozen due to concerns surrounding inconsistencies in his tax declarations.

The news website reports sources close to the matter as having revealed that Amarh-Quaye, who is believed to be linked to 29 separate companies, has come under scrutiny for tax filings that do not correspond with the financial obligations he is expected to meet. The freezing of his accounts comes shortly after he held a lavish 40th birthday celebration, which has drawn widespread attention online. Some sources have estimated the event's cost to be as high as $2 million.

Prior to the birthday party, attended by roughly 1,400 guests, Amarh-Quaye recently acquired a custom-branded private jet and a Bugatti Chiron. The announcement stirred debate across both traditional and social media platforms, prompting questions about the legitimacy of his wealth.

In response to the controversy, Bills Micro Credit issued a public statement clarifying its stance:

This latest development remains a matter of keen public interest.
Kuwa na hela na kuwa mtulivu kama wenzetu wahindi ni discipline ya hali ya juu, waafrika wengi hiki ndio kinaletaga anguko letu tunataka dunia nzima ijue kama tumepata hela, agalia wale onuoh brothers same thing kimewafelisha
 
Back
Top Bottom