Kiroho unajuaje kuwa huu ni wakati wa MUNGU.?

Wakati wa Mungu katika jambo lolote lile, mambo yote hutokea kwa wepesi na kwa kwa mtiririko usiohitaji jitihada nyingi za wanadamu. Au kwa maneno mengine wakati wa Mungu ukifika mambo yaliyoshindikana au kukwama kwa muda mrefu hutokea bila kikwazo au ugumu wowote.
Thank you
 
Back
Top Bottom