Kwani ukisikia sadaka unaelewa nini?
Sadaka inatolewa katika madhabahu hata kama mpokeaji ni binadamu. Sadaka inaunganishwa na ulimwengu wa roho kupitia madhabahu. Ulimwengu wa roho ndio sasa Mungu yupo na wale viumbe wasioonekana ikiwa ni pamoja na walioasi.Kwani ukisikia sadaka unaelewa nini?
Unafikiri kusaidia watu ni monopoly ya watu wanaoamini Mungu?
Ukute ametumia hilo tamko pasi na kujua maana yake. Hawa watu wana udhaifu mkubwa sana wa kujua maana za maneno.
Sadaka ni tamko maalumu halitumiki bila kuhusianisha au kufungamanisha na Mola, sababu tamko hili hufungamana na matarajio ya malipo toka kwa Mola.Kwani ukisikia sadaka unaelewa nini?
Unafikiri kusaidia watu ni monopoly ya watu wanaoamini Mungu?
Ndiyo maana huwa tunahitimisha ya kuwa wana matatizo ya akili na wana uwezo mdogo sana wa kufikiri.Hawa ni kawaida yao. Unafikiri hajui? Ni ujeuri tu anautumia kwasababu ana elimu na fedha.
Sawa basi, kwa tafsiri yako hiyo, nimekosea kutaja sadaka. Weka kama nimetoa msaada.Sadaka ni tamko maalumu halitumiki bila kuhusianisha au kufungamanisha na Mola, sababu tamko hili hufungamana na matarajio ya malipo toka kwa Mola.
Nilichokiona hapo, hujui maana ya tamko "Sadaka" ila umelitumia kwa ujinga tu.
Mkuu PM yako imefungwa.Kwani ukisikia sadaka unaelewa nini?
Unafikiri kusaidia watu ni monopoly ya watu wanaoamini Mungu?
Correct analysisSadaqah or Sadqah (Arabic: صدقة, Urdu: صدقہ, IPA: [sˤɑdæqɐ],[n A] "charity", "benevolence",[1] plural ṣadaqāt صدقات) in the modern context has come to signify "voluntary charity".[2] According to the Quran, the word means voluntary offering, whose amount is at the will of the "benefactor".[3]
'Sadaqah' literally means 'righteousness' and refers to the voluntary giving of alms or charity
Kwa hivyo mtu asiyeamini Mungu hawezi kuwa benevolent, hawezi kuwa charitable?Correct analysis
Unadili na watu ambao vitabu vyao walivyosoma tangu utoto wao ni biblia,quran na madaftari ya notisi za shuleKwa hivyo mtu asiyeamini Mungu hawezi kuwa benevolent, hawezi kuwa charitable?
Hapana mkuu, iko wazi.Mkuu PM yako imefungwa.
Hapana mkuu, iko wazi.
Ulitakiwa ukomee hapo hapo, kwenye kukosea, mimi nimekukosoa hakuna suala la kufurahi wala kinyume chake. Hiki ulichokiongeza ni "Shadhi".Sawa basi, kwa tafsiri yako hiyo, nimekosea kutaja sadaka. Weka kama nimetoa msaada.
Ushafurahi?
Hili sijaligusia, ongeza umakini wa kutokujibu kisichohitajika.Na kutaja majini si kuamini majini, kama vile kumtaja James Bond 007 si kuamini yupo.
Wwewe hujui kusoma kwa ufahamu na hujui tafsida, huwezi kuelewa.
Also, usipende kick kwa kutumia jina langu.
Stay off my dilsnick.
Naona ukaenda Wikipedia, ulitakiwa utafute Kamusi ya Kiarabu yenyewe ufaidike na maana ya tamko hilo, sababu tamko hilo lina asili ya Kiarabu. Sijui kwanini hamsomi vijana ?Kwa hivyo mtu asiyeamini Mungu hawezi kuwa benevolent, hawezi kuwa charitable?
Shida yenu hamjui wapi mshike, hakuna aliyekataa kama mpagani hawezi kuwa mwema.Unadili na watu ambao vitabu vyao walivyosoma tangu utoto wao ni biblia,quran na madaftari ya notisi za shule
Sasa unafikili atawaza nini nje ya mambo ya dini na kujua mji mkuu wa Rwanda ni Kigali
Hawa watu hawaamini kama kuna jema nje ya Ukristo na Uislamu
Hawaamini mpagani anaweza kuwa mwema
Hivyo ni kuwasamehe bure tu