Kipindi cha Take One cha Clouds TV hakifai kwa maadili, kinatangaza Ushoga

Naona watu wanalaani tu, sijajua kama ni wanawake wote au ni wanaume,... Maana hawa mashoga wanachukuliwa na wanaume hawa hawa ambao kimsingi wanaweza kuwa ni miongoni mwa wanaolaani hapa(note:simaanishi wote) . Tusipende kuhukumu bila kuhoji na kujihoji.
 
In fact hii clouds TV sijawahi itizama hata kwa sekunde 1.

TV Stations za design ya clouds huwa sehemu za soga, utadhani ni kijiwe/ukumbi wa kitchen party.
 
Habari za jioni wakuu, nilikuwa naangalia clouds TV muda mfupi uliopita kipindi cha take one new chapter" mtangazaji alikuwa anamhoji shoga mmoja aliyejitbulisha kwa jina la kaoge, kwa kweli in story ya kusikitisha lkn Jamaa anajiamini kupita maelezo, kubwa zaidi jamaa ameulizwa matarajio yake ni nini baadae? Akajibu kuwa anahitaji kupandikizwa mbegu za kiume apate mimba apewe bed rest kisha azae, jamaa ameniacha hoi sana kwa kweli, tuwachunge watoto eetu jamani
 
Nianze kwa kumuita Nape Nauye pia niwaite TCRA mko wapi na jamani.

Hivi kumpa airtime shoga kwa kujifanya wanamuhoji kwamba jamii ijifunze labda mnisaidie kitu kuna kitu cha kujifunza kwa mashoga???

Ninavyoona mimi nikama kuwapromote na kujiona wanachofanya kuwa bwabwa iko siku itakubaliwa na jamii. Naomba kujua sheria na kanuni za utangazaji hazitoi katazo lolote kurusha vipindi vyenye negative image kwa jamii kama kumleta shoga na kueleza jinsi anavyofurahia hali ile ni upuuzi wa hali ya juu na niombe na kutoa wito kwa TCRA na waziri wa habari, mchezo na utamaduni kuwachukulia hatua clouds Tv.
Rais wangu JPM hawa wahusika wasipo chukua hatua nikuombe useme nao..!

Nimekeleta na kushindwa kuvumilia upuuzi huu.
 
Daah yaan naangalia hapa, huyu shoga ni shida. Anataka hadi abebe mimba

Nipo home nimetulia na naangalia TV na familia wife anaweka hiki hiki kipindi na wanaemuhoji ni shoga maarafu na tena mwezi huu mtukufu sijui wanafundisha nini? Maana kuangalia hiki kipindi na familia ni shida za nadhani inabidi wawe wa naangalia watu wa kuwahoji na wakati gani wa kuwahoji.
 
Mmeniudhi leo clouds TV..... Kuhoji hawa live bila mwanasaikolojia mnazidi kuchochea kuongezeka kwa hawa watu....
Imagine linavyobwabwaja, wanetu wataona ni fashion kuwa hivi.....
TCRA naomba muingilie kati please...
 

Attachments

  • clouds1.jpeg
    clouds1.jpeg
    59.7 KB · Views: 83
  • clouds2.jpeg
    clouds2.jpeg
    39.1 KB · Views: 109
Sio mbaya inafumbua macho jamii kuwa ushoga upo na unaongezeka kutokana na jamii kufumbia macho kama hakuna kinachoendelea
Na inaonekana wazazi wamezembea kidogo kwenye malezi na kujikita kwenye kufafuta pesa zaidi kutokana na ugumu wa maisha
Kama ulivyomsikia yule mgeni pale kiluchosababishwa ni malezi kuwa hakuwa na mwangalizi wa karibu
Muhimu wazazi haswa wakiume muwe karibu kwenye malezi msiachie wamama pekee
 
Nimeangalia mwanzo tu nmekimbia,yes wote tu wenye dhambi,lakini there are things which are just unnatural kbsa,,,,Amon Mpanju ametoka kuliongelea hlo juzi,,kitu kingne hili 'choko' limesema serikali inawapa vilainishi, dettol sabuni,na wanafundishwa usafi kupitia hospitali ya Muhimbili,na vle vle kuna NGO ipo hapa hapa inatetea haki zao,,,,,,,,,hapa nashindwa kuelewa ni kweli serikali yangu ya 'hapa kazi tu' inafanya yote haya,,kama ndo hvo basi tumekwisha
 
Nipo home nimetulia na naangalia TV na familia wife anaweka hiki hiki kipindi na wanaemuhoji ni shoga maarafu na tena mwezi huu mtukufu sijui wanafundisha nini? Maana kuangalia hiki kipindi na familia ni shida za nadhani inabidi wawe wa naangalia watu wa kuwahoji na wakati gani wa kuwahoji.
Kwa kweli hata Mimi nimeona na nikaondoa haraka! Nimefedheheka sana na wageni wangu sebuleni.
 
Back
Top Bottom