Yohana Kilimba
JF-Expert Member
- Dec 25, 2012
- 8,105
- 5,629
Ahahaha,Pole Pole kala kona polepole
Hako kajitu kanafiki sana katakuwa hakajapewa pesa na akina January Makamba mkuu wa fitna na Uchakachuaji ccm , pia siku hizi kamepoteza Mvuto kanabwabwaja hovyo tu.Polepole hajapata mshiko?
Katika usiku wa leo kipindi cha mada moto Channel 10,walialikwa Mh.Msigwa na H.Polepole walikuwa wageni waalikwa.Katika hali ya kushtua Humphrey Polepole amekula kona na Msigwa pekee ametokea.Hata hivyo kuna mgeni amechukua nafasi ya mgeni amekimbia.
....Yule wa kwenye Gazeti la Mtanzania..Alafu ataenda kwa mkewe baada ya hapa anajiona bonge la mtu.kumbe zerooo
Haraka haraka anaogopa kujipaka matope wakati huu anaposubiri posti ya UDSIIHako kajitu kanafiki sana katakuwa hakajapewa pesa na akina January Makamba mkuu wa fitna na Uchakachuaji ccm , pia siku hizi kamepoteza Mvuto kanabwabwaja hovyo tu.
Polepole ni mwepesi sana linapofika suala la kujenga hoja na ndio maana nadhani amekimbia, akiwa peke yake anatamba sana lakini akijua kuna watu wenye kariba na uwezo wa kufikiria lazima tu akimbieKatika usiku wa leo kipindi cha mada moto Channel 10,walialikwa Mh.Msigwa na H.Polepole walikuwa wageni waalikwa.Katika hali ya kushtua Humphrey Polepole amekula kona na Msigwa pekee ametokea.Hata hivyo kuna mgeni amechukua nafasi ya mgeni amekimbia.
Hivi katuni ya Zero bado ipo ? Sijamwona siku nyingi sana....Yule wa kwenye Gazeti la Mtanzania..
Hata ungekuwa wewe usingeweza kuwa mvumilivu kwenye upotoshaji! huyo poyoyo amekalili ujingaMsigwa uvumilivu ni F
jamaa potoshajiMsigwa uvumilivu ni F