Lizaboni
JF-Expert Member
- Feb 21, 2013
- 33,894
- 20,388
- Thread starter
- #21
Hahahahahaaaaa! Wananchi wamewakataa. Twende na MagufuliWalizoea kuwapa pesa wapiga kura sasa hivi hata wajieleze vipi wananchi hawawaelewi, wanataka pesa tu.Wengi waNA UKAWA hawakujitokeza kupiga kura sababu kila moja akiuliza mwenzie vipi kuna chochote kama uchaguzi uliopita anaambiwa hakuna WAMEKUJA MIKONO MITUPU NA POROJO TU za chagua UKAWA!!! UKAWA wengi wakasema hatuendi kupiga kura.Wamesuswa
Kamnpeni za pesa matokeo yake ndiyo hayo na bado wasubiri 2020 watakiona cha mtema kuni yale maburungutu waliyokuwa wakigawia wapiga kura wao bado wanayaota kama 2020 watakuwa hawana wajiandae kushindwa chaguzi kila kona