Kipi rahisi kupatikana kwako kati ya hivi viwili

ushawahi kutafuta hela kiwango cha juu wewe? Kama umewahi basi jibu unalo. Usilinganishe hela na vitu ambavyo Mungu kaleta 'for free'
papuch inagharamiwa mkuu, ni mara chache sana unaweza kuipata kwa free.
 
Kati ya papuchi na pesa kipi unaweza ukakipata ndan ya muda mfupi kama ukiamua. let say upo home na huna hata mia. anatokea mtu anakuambia utafute moja kati ya hayo mawil ndan ya masaa 24. Utarud na kipi mkonon. vyote vinaweza kupatikana but kipi kinapatikana kwa uwepes zaid kwa upande wako? nawasilisha.
"Kwa masaa 24? narudi na wanawake hawapungui kumi pesa si rahisi kama hiyo kitu bhana itake radhi pesa"
 
Back
Top Bottom