ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,368
- 50,737
Kwa wale watumiaji wa mayai Kwa lengo la kupata protein wameshasikia mengi kuhusu tetesi za madhara ya mayai ya kisasa na hata Wataalamu wa Lishe wanakiri ya kuku wa kienyeji ni bora zaidi.
Lakini nyumba nyingi na maduka mengi utakuta tray za mayai ya kisasa ni mengi zaidi na biashara yake inatoka means yanatumika kote kwenye biashara ya chips na majumbani.
Sasa ningependa nijue machache. Je, ni upatikanaji wa mrahisi wa ya kisasa. Ni kweli eneo lako au masokoni utakosa ya kienyeji?
Au ni bei rahisi kwamba la kisasa 400 ila la kienyeji 500 ndo inakupelekea uchukue la kisasa.
Au umeshawishika na ukubwa wa yai la kisasa.