Kipanya amshtaki Mwijaku rasmi Mahakama Kuu, adai malipo mengine ya Tsh. Milioni 500

KIPANYA AJITAFAKARI,

MTU ALIKOSEA

AKAGUNDUA ALIKUKOSEA

AKAITISHA VYOMBO VYA HABARI KWA GHARAMA ZAKE

AKAKUOMBA RADHI HADHARANI.

LAKINI WEWE BADO UMELISHIKILIA , HUU SIYO UBINADAMU NA WALA SIYO UCHA MUNGU.

NA KAMA ANA DINI YAKE BASI BORA AACHE KWENDA KUSWALI .

MUNGU ANAAGIZA BINADAMU KUSAMEHEANA .MTU KAKUOMBA RADHI MBELE YA WANDISHI WA HABARI.
 
Bw. Ally Masoud Nyomwa anayejulikana zaidi kwa jina la Masoud Kipanya (KP), amafungua mashitaka Mahakama Kuu ya Tanzania (Masjala Ndogo ya Dar es Salaam) dhidi ya Bw. Burton Mwemba Mwijaku anayemtuhumu kumkashifu, kumshushia hadhi na heshima yake
Kuna watu wameanza kuelekeza mitazamo kwenye imani za wawili hao, nchi hii!!
 
Kadri siku zinavyozidi kwenda Mwijaku anajichetua zaidi, yaani ya leo inakua zaidi ya jana.

Uchawa wake uwe na kikomo sasa, kina babalevo ni machawa ila kidogo wanajibehave hawana ulipolopo alionao huyu kiumbe.

Achunge asijegusa pabaya akapotezwa kabisa.
 
Mbaya zaidi ni kila siku anazidisha vioja..
Mimi kwa kweli ananikwaza mbona wenzie kina baba levo hawajichetui kwa kuwavunjia watu heshima za kashfa za kijinga??
Unamwambia mtu anajihusisha na drugs hivi anamuweka kwenye nafasi gani kwenye jamii na watu waliomuamini??

Hapana hili jinga lichukuliwe hatua kali zaidi ili iwe fundisho.!
 
Jamaa hakuropoka tu bila sababu aliropoka kitu ambacho kipo sema alichokosea ni kuropoka bila ushahidi na ndo hapo jamaa atamnyongea ila alichokisema hajasingizia.
Sasa huna ushahidi unaropokaje na unajua mahakama zipo na zinahitaji ushahidi pindi ukifikishwa huko.
 
Back
Top Bottom