Tetesi: Kipa John Noble wa Fountaine Gate avunjiwa mkataba baada ya kufungisha dhidi ya Yanga

Kipa wa Fountaine Gate, John Noble aliyedaka leo dhidi ya Yanga anadaiwa kuvunjiwa mkataba na klabu hiyo baada ya kufanya makosa mawili ya wazi yaliyopelekea kuwapa Yanga magoli mawili.

Nitarudi na updates zaidi…
Hiyo yenyewe ni ya Mwigulu...
 
Kwa zile goli alizofungwa lazima Yanga wamemcheki kwa M-pesa haiwezekani kipa utoke golini upige Pass kwa yule mchezaji wa Yanga aliepaka rangi nywele zake kama Amber rutty
Hujui mpira
Goli la kwanza mpira ulidunda kipa kuupoza Mzize kafunga

Goli la 2 kipa alitaka asogeze kwe
Sasa hao ni fountain gate timu ya John Noble sio timu ya Camara
Timu ya Camara huwa inafurahia kujifunga
 
Kipa wa Fountaine Gate, John Noble aliyedaka leo dhidi ya Yanga anadaiwa kuvunjiwa mkataba na klabu hiyo baada ya kufanya makosa mawili ya wazi yaliyopelekea kuwapa Yanga magoli mawili.

Nitarudi na updates zaidi…
afu yanga wamezidi...tusipoangalia kila timu itafukuza wachezaji,yuko wapi inonga baka,wapi aishi manula,wapi karabaka,wote hao wamepotezwa na timu zao sababu ya yanga,hii timu ikomeshwe au ifutwe
 
Hujui mpira
Goli la kwanza mpira ulidunda kipa kuupoza Mzize kafunga

Goli la 2 kipa alitaka asogeze kwe

Timu ya Camara huwa inafurahia kujifunga
Haina shida na kujifunga timu ya Camara ndio maana yupo pale na Chasambi yupo pale ila timu ya Noble haivumili upuuzi kama huo ndio maana hawajasubiri hata kukuche wamekula kichwa
 
Back
Top Bottom