Kwanini wasivunje pia mkataba wa yule golikipa wa pili naye kafungwa magoli 2Kipa wa Fountaine Gate, John Noble aliyedaka leo dhidi ya Yanga anadaiwa kuvunjiwa mkataba na klabu hiyo baada ya kufanya makosa mawili ya wazi yaliyopelekea kuwapa Yanga magoli mawili.
Nitarudi na updates zaidi…
Mtawaonea tu bure ,yanga hii inayopiga hamsa hamsa unaweza kufukuza timu nzima.Kipa wa Fountaine Gate, John Noble aliyedaka leo dhidi ya Yanga anadaiwa kuvunjiwa mkataba na klabu hiyo baada ya kufanya makosa mawili ya wazi yaliyopelekea kuwapa Yanga magoli mawili.
Nitarudi na updates zaidi…
mh! umeangalia mpira kweli wewe..?Kwa zile goli alizofungwa lazima Yanga wamemcheki kwa M-pesa haiwezekani kipa utoke golini upige Pass kwa yule mchezaji wa Yanga aliepaka rangi nywele zake kama Amber rutty
Hiyo yenyewe ni ya Mwigulu...Kipa wa Fountaine Gate, John Noble aliyedaka leo dhidi ya Yanga anadaiwa kuvunjiwa mkataba na klabu hiyo baada ya kufanya makosa mawili ya wazi yaliyopelekea kuwapa Yanga magoli mawili.
Nitarudi na updates zaidi…
Kwa swali hilo ulilouliza wewe ndo unatakiwa uulizwe kama umeangalia mpiramh! umeangalia mpira kweli wewe..?
Sasa hao ni fountain gate timu ya John Noble sio timu ya CamaraHuo utakuwa upumbavu
Camara alirudisha mpira uliokiwa ukitoka na kumpa pasi Kijili akafungwa goli safi ila Bado timu yake inamvumilia
Fountain gate wanamtuhumu kwa kula rushwaLAbda wamenusa kuna harufu ya rushwa.
Muhimu wamlipe stahiki zake.
Hujui mpiraKwa zile goli alizofungwa lazima Yanga wamemcheki kwa M-pesa haiwezekani kipa utoke golini upige Pass kwa yule mchezaji wa Yanga aliepaka rangi nywele zake kama Amber rutty
Timu ya Camara huwa inafurahia kujifungaSasa hao ni fountain gate timu ya John Noble sio timu ya Camara
Sio kunusa, ile ni dhahiri shahiri. Kuvunjiwa mkataba haitoshi, anahitajika kuchukuliwa maelezo ya kina.LAbda wamenusa kuna harufu ya rushwa.
Muhimu wamlipe stahiki zake.
afu yanga wamezidi...tusipoangalia kila timu itafukuza wachezaji,yuko wapi inonga baka,wapi aishi manula,wapi karabaka,wote hao wamepotezwa na timu zao sababu ya yanga,hii timu ikomeshwe au ifutweKipa wa Fountaine Gate, John Noble aliyedaka leo dhidi ya Yanga anadaiwa kuvunjiwa mkataba na klabu hiyo baada ya kufanya makosa mawili ya wazi yaliyopelekea kuwapa Yanga magoli mawili.
Nitarudi na updates zaidi…
Haina shida na kujifunga timu ya Camara ndio maana yupo pale na Chasambi yupo pale ila timu ya Noble haivumili upuuzi kama huo ndio maana hawajasubiri hata kukuche wamekula kichwaHujui mpira
Goli la kwanza mpira ulidunda kipa kuupoza Mzize kafunga
Goli la 2 kipa alitaka asogeze kwe
Timu ya Camara huwa inafurahia kujifunga