King'amzi changu cha AZAM kinaonesha channel za Startimes

incredible terminator

JF-Expert Member
Aug 1, 2016
2,242
3,534
Habari wakuu naombeni msaada, Gafla king'amzi changu cha Azam kimeanza kuonesha Channel za startimes, ni baada ya kuishiwa kifurushi, Cha ajabu leo kiliomba ni search new channel na baada ya hilo zoez nashangaa kimecapture channel za startimes

Naombeni msaada kwa wazoefu ni king'amzi cha Anntena.

20240430_210058.jpg
20240430_210042.jpg
 
Mkuu tatizo hapo signal zipo chini ya kiwango boresha signal zako then ki factory default kitarejesha channel sahii za service provider husika.
 
Back
Top Bottom