King Mseke, mtoto wa Joh Makini aanza mafunzo ya Soka kwenye Academy ya Manchester City, Uingereza

Sure, Soka ndio sekta inayotoa ajira kwa watu wengi sana duniani na maisha ya wengi yamebadilika kupitia mpira
Tuwekeze humo kwa vizazi vyetu kama uwezo tunao, alichokifanya joh makini kinaenda kumlipa very soon. Huyo dogo akifanikiwa kuingia kwenye academy ya timu kubwa yeyote ulaya tayari atakuwa mbali sana.
 
King Mseke (9), mtoto wa msanii wa hip-hop Tanzania Joh Makini, amewasili katika Academy ya Klabu ya Manchester City nchini Uingereza kwa ajili ya mafunzo ya soka ya wiki mbili. Joh Makini amesema mwaliko huo umetokana na juhudi za muda mrefu za kukuza kipaji cha King, kilichoonekana akiwa na umri wa miaka minne.
View attachment 3178745
Mafunzo hayo yataleta tathmini ya kitaalamu kuhusu uwezo wa King na ushauri wa kuboresha kipaji chake, hatua ambayo Joh anaamini itafungua milango zaidi katika safari yake ya soka.
View attachment 3178746

"Ni stori ndefu sana, hivi ni vitu ambavyo tumekuwa tukitafuta wenyewe na kuvifanyia kazi kwa miaka kuhakikisha kipaji cha Mtoto kinaonekana, King alianza mafunzo serious akiwa na miaka minne au mitano baada ya kumuona ana kipaji ilibidi niivalie njuga sikutaka kuchukulia poa kabisa" - Joh Makini.
View attachment 3178748
"King Mseke ambaye ni Mwanafunzi wa darasa la tano, aliondoka Tanzania kwenda Uingereza ljumaa December 13 2024 ambako atakuwa kwenye mafunzo hayo ya Manchester City kwa muda wa wiki mbili "haya mafunzo unapata mwaliko kutokana na juhudi zako na uwezo wa Mtoto".

"Wakishamaliza mafunzo wanaandaa ripoti jinsi walivyomuona Mtoto na pia wanakushauri vitu vya kufanyia kazi, unajua wale wako mbele sana wana vipimo vyao Mtoto anapimwa kila kitu yani wanaweza kukwambia mpaka shuti la huyu Mtoto uzito wake, mikimbio yake kitaalamu n.k, naamini hii safari yake itafungua milango mingi sana kwa huyu Mtoto" Joh Makini.

Chanzo: Ayo TV
Hizi nywenye zimemzeesha mtoto!! Kama kama mtu mzima mtoto.

Anyway, kila la kheri kwake, akawe mchezaji mkubwa one day.
 
Hivi huyu mtoto hana pozi nyingine zaidi ya hii?
 
Wabongo kwa nongwa hawajambo. Yani dogo bado hajaanza hata majaribio kuona kama atafanikiwa au lah. tayari wabongo washaanza kumsema eti hana mwili wa boli.
 
Kitendo cha kufika man city academy ni hatua nzuri kikubwa tumuombee mungu dogo afike mbali.pongezi kwa mama samia kwa kusapoti michezo ame motivate vijana
 
Oya tuacheni kula bange kipindi wake zetu wakiwa wajawazito cheki dogo ana sura ya kihuni pure.
 
Back
Top Bottom