King crazy gk

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
75,356
157,772
Jamani kuanzia mwana f.a na a.y wameondoka kwenye timu ya east coast,
bwana huyu king crazy gk amefutika kabisa kwenye ulimwengu wa muziki,
hivi yuko wapi mdau huyu nguli wa muziki wa ubongo wa fuleva?
 
Nipo nasoma chuo hapa kurasini cha mambo ya uhusiano wa kimatifa.
 
umeshtukia bongo fleva chali ehh...hongera sana mkubwa, faida kubwa utayokua unaipata ni kubadili madem na mavazi tu oyz ni kuzidi kujaza umoshi wa bange kichwani, kuwa na lips nyeusi, macho mekundu kama shetani na kujichubua na kuishia kuharibika sura kama MR Blue.

Dont go back there again.
 
Acha fitna wewe,nani kakuambia kuwa muziki una mahusiano na hizo bange na mademu?Mademu na bange hayo ni maamuzi ya mtu mmoja mmoja,niambie ni sheria ipi inayosema kuwa lazima uvute bange ili uwe mwana mziki wa bongo fleva!!
 
kama kweli basi hongera saaaana kaka........uliko kuwa unaelekea na muziki sio kuzuri yale mambo yetu ya kupiga manati ndege walioko tunduni na nje ya tundu sio kabisa..................
Nipo nasoma chuo hapa kurasini cha mambo ya uhusiano wa kimatifa.
 
Hahahaha naona Nguli kwa makusudi umeamua kumpotosha Zion...ona sasa...LOL!

Buji wll husiana na huyu jamaa ni kwamba yupo tu sema upepo wa mafanikio unatembea against yeye...sema nadhani kuna juhudi binafsi zinafanyika kuhakikisha ya kwamba kijana anarudi katika ramani ya bongo flava..tumuombee zaidi...si peke yake aliepotea bali ni wengi wako katika hilo dimbwi...
 
Mkubwa kamam hujui kitu bora ukae kimya, nimesema nasoma hapa kurasini international relation sasa unabisha? kama vipi njoo kijiweni kwangu pale MWENGE kuna duka la nguo linaitwa MILE PAMBA ukinikosa utamkuta OTEN na kina AMANI waulizie.

Kusoma muhimu kaka.....
 
He!! Mwenge ndiyo west coast???
 
Mkubwa kamam hujui kitu bora ukae kimya, nimesema nasoma hapa kurasini international relation sasa unabisha? kama vipi njoo kijiweni kwangu pale MWENGE kuna duka la nguo linaitwa MILE PAMBA ukinikosa utamkuta OTEN na kina AMANI waulizie.

Kusoma muhimu kaka.....

Nguli babaa!! c'm on!!! uzi unamuhus GK nguli wa muziki, haya kinachokufanya uanze kdaiveti swali la msingi nini hasa??

Nguli kwenye swali la msingi imetumika kama "kivumishi" na si ''jina''!!!
 
Nguli ID yako leo umefulia hahahaha Nguli ni GK watch out! kata shule dogo music hauna umri wa kustaafu
 
Nguli babaa!! c'm on!!! uzi unamuhus GK nguli wa muziki, haya kinachokufanya uanze kdaiveti swali la msingi nini hasa??

Nguli kwenye swali la msingi imetumika kama "kivumishi" na si ''jina''!!!

Unapokuwa kwenye net inabidi uwe makini sana saa ingine humu mnabishana na watu wakubwa sana wenye majina na wala hamjui....
PM watu wanaonijua kama akina YO YO, MASANILO AU FIDEL80 watakwambia. Ulikuwa unapoteza bahati kwa kunikataa hukushtuka nilivyokushushia mistari kwenye kuomba .....

msamaha aulitaka pikipiki ya yamahaya, au unataka mtoto niimbe kwaya?
au nidanganye niko kitunda ok njoo ule matunda na hutopanda punda.
 
speechless and motionless....
 
speechless and motionless....

speechless ah! kwani umekula nanasi?
Achana na zao tetesi ni nyepesi,
Tutaendelea kula pamba nyepesi,
Mpaka wahisi mikosi..

Wataiba mistari yangu na ninataka kurudi kwenye gemu.
 
Unanipa wasi wasi we mkwasi,
Hivi unajua mtoto katulia na mdosi,
Burn ndio mpango Nguli kaku diss
Na mapenzi yapo ameanza kwa kasi
Nasubiri wikendi KUPIGA MIKASI..
 
Unanipa wasi wasi we mkwasi,
Hivi unajua mtoto katulia na mdosi,
Burn ndio mpango Nguli kaku diss
Na mapenzi yapo ameanza kwa kasi
Nasubiri wikendi KUPIGA MIKASI..

Mkuu itabidi tupige kolabo,
Tena tumevaa lapa ya yebo,
Tuwadisi wapenda chabo,
Wakibisha tunawapa viboko,
Na wajue sisi sio bokoboko,
 
Back
Top Bottom