Kinadada mtalia sana kwa kutojielewa

Kuoa na kuolewa ni kitu cha thmani sana hivo maisha ni pamoja na hayo unless uko desperate na vitu flani vikaleta hali fulani
 
du, mkuu kibaravumba naona leo umeamua kugawa ZA USO hadi huruma! ngoja wenyewe waje wajitetee.





za uso wap kila siku anabadilo majina Kaaachwa M wenzenu huyooo anapost mwenyew alafuv anakoment kutumia accountzake mwenyew mnaisi mawazo ya watu miaka mitatu ya kibut bado anamaumivu ha ha ha na bado
 
Na kamwe hatokeagi huyo mtu wa ndoto zako, hujaga mtu mwingine asiyekidhi ndoto zako lasivyo ujiandae kukaa mpk miaka 35 bila mtu. Huyo unaemtaka huwez kumpata kwa 100% labda umuumbe mwenyewe.. Ushaur tu!!!

Hiyo ina-apply hata kwetu wanaume. Cha msingi unakuwa na vigezo vichache kama viwili na vikizidi vitatu. Vingine unatakiwa kuwa tayari kuvumilia. La sivyo hutakaa umpate mwenza. Labda kama una uwezo wa kumuumna mwenyewe kama ulivyosema. Ila ni wachache wanaolielewa hili maana wengi hendelea kulazimisha mpaka vigezo vyote vitimie. Ndo maana unaona wengi wamekuja kigutuka umri umeenda na hawapti wachumba.
 
Utafikiri anaolewa na hivo vitu,mara wanatakaga mwanaume mwenye gari we dada ulibatizwa kwa petroli????
 
Mambo yote USA baby tu.

Ukiwa USA baby
flag_usa.gif
flag_usa.gif
flag_usa.gif
utawatafuna sana akina Valentina :D:D:D
Nyooo tutafunwe tumekua big G
 
Kwani vibaya mtu kuridhisha moyo wake?
1. Kuanzia 20 years mpaka 23, kama hayupo shule kwa kawaida anaanza kuwaza kuolewa... Hapo ndo kunawekwa masherti ya kufa mtu... AWE WA KIBULUU, AWE NA VOPGII, AWE NA NYUMBA, AWE NA HIKI KILE N.K
2. Wanapokaribia 30 years and they are not even sure ya mtu wa kuwaowa, wanaanza kuwa na wasiwasi... LAKINI KWA NJE WANAJIFANYA STRONG SANA, NA KWAMBA KUOLEWA SIYO DEAL.. Kumbuka hapo MASHERTI YANAANZA KUWA INVERSELY PROPORTIONAL NA TIME....
3. Wakifika 30 years NET, kama hawajazaa, wanaanza kutamani kuwa na mtoto wa kuzaa wenyewe... Na hapo masherti yanahamia kwenye UHENDISAMU wa mwanaume wa kuzaa naye.... Masherti ya mwanzo yanakaribia kuwa ZERO
4. Sasa wakifika arround 33 years, na hawajapata wa kuzaa naye kwa masherti ya UHENDISAMU, wanaanza kutaka kuzaa na yeyote.. Maana NAO WANAJUWA KUWA KUNA MENOPOZIIIIIIIIIIII....
5. Sasa huko mbele ya safari ni kutafuta mtoto kwa yeyote atakayeonyesha nia ya kuzaa... HASWA WAUME ZA WATU NDO WANAKUWAGA VICTIMS SANA WA HILI...

VALEEE
NB: Hapo ukiongeza na presha za kijamii mambo ndo yanakuwa hatarii...
1. Ukimtuma mtoto wa mtu na ukaambiwa zaa wako ujuwe leba kunafananaje... Mchape sasa uona kama kuna rangi utaacha ona....
2. Ndugu zako nao huanza kukueleza LAIVUU BILA CHENGA...
3. Ukija kwa stori za kitaaa nako usiseme...

HUO MOYO UNAOTAKA KUURIDHISHA WAKATI MWINGINE NI NGUMU KUURIDHISHA.... MAANA SIYO KILA KITU KIPO NDANI YA UWEZO WAKO...
 
Na kamwe hatokeagi huyo mtu wa ndoto zako, hujaga mtu mwingine asiyekidhi ndoto zako lasivyo ujiandae kukaa mpk miaka 35 bila mtu. Huyo unaemtaka huwez kumpata kwa 100% labda umuumbe mwenyewe.. Ushaur tu!!!
Ameeeennnn.... Kuna wadada wanamasherti hatariiiii.... Yaani ukisikiliza unaona kabisaaaa HYU ASIPOOLEWA NA MUNGU BASI MASHERTI HAYA AJIOE MWENYEWE
 
Wazee wa booty calls tupo jamani, kwa wale mlioko desperate, mmetendwa karibuni PM kwa cosultance zaidi
 
Wadada wengine washachokwa kuliwa papuchi mitaani ndio huja kwenye mitandao na masharti kibaoo kama kweli mzuri si angelipata mwenza huko huko mitaani.
hahahahahhahahaha

kweli kabisa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom