Kinachofuata: Daudi Albert Bashite lazima ang'oke, muda wa usafi umefika!

Ni aibu mtu ambae hana zero kutawala maprofesa,madaktari,mainjinia,mawakili, hadi mawaziri...oh sorry... mawaziri wamemkimbia kwa aibu ya kuongozwa na kilaza, wamemuachia jamaa yake aliyemteua aendelee kuongozwa na kilaza wake.
 
Hii Ni siku ngumu sana Kwa faza house mchana kachezea kichapo Arusha usiku huu mtoto mpendwa alicho fanya Sawa na kutembea uchi kariakoo
 
Watu wa dar bana hamtaki kutawaliwa na wa mikoani halafu mnaomba nguvu kutoka kwa watu wa mikoani!!! Nawashauri muendelee kupata msaada wa bure toka kwa mange(mwanamke wa dar)
Kandoro,Makamba,Lukuvi,Sadiki hawa pia wa MIKOANI
 
Watu wa dar bana hamtaki kutawaliwa na wa mikoani halafu mnaomba nguvu kutoka kwa watu wa mikoani!!! Nawashauri muendelee kupata msaada wa bure toka kwa mange(mwanamke wa dar)
Uko vizuri kwenye kugawana ubuyu na kule MMU lakini majukwaa mengine kama haya unapwaya mkuu.
 
Mkuu huku namfata handsome makonda tu. Hunioni kumkosoa mbowe,lissu,wala cdm au ccm hayo ni masuala ya wazoefu zaidi.
Uko vizuri kwenye kugawana ubuyu na kule MMU lakini majukwaa mengine kama haya unapwaya mkuu.
 
Aah uwe unagonga hata ka like,unasoma isidingo na kupita kimya kimya acha hizo.

Tatizo mnapenda kuungwa mkono tu hata kwenye pumba za uongo
Na kusimulia Isidingo kumbe kwenye siasa ni bashite bashite
 
Aah uwe unagonga hata ka like,unasoma isidingo na kupita kimya kimya acha hizo.

Tatizo mnapenda kuungwa mkono tu hata kwenye pumba za uongo

Kule Isidingo nitakupa like ila huku mhhh! Hapa watu wanatetea na kununua ugomvi usio wahusu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…