mwasipenjele
JF-Expert Member
- Jun 2, 2012
- 771
- 450
Huoni vijana humuhongera sana mzee ! nilidhani kijana mwenzangu nijiweke
Huoni vijana humuhongera sana mzee ! nilidhani kijana mwenzangu nijiweke
Hapa utaratibu unaotumika ni FIRST IN FIRST OUT(FIFO).Tulianza kuomba cheti cha Daudi Albert Bashite wa Koromije ambae kwa mitaa ya Dar es salaam anajiita Paul Makonda.Ebu tuondolee upuuzi wako
Kandoro,Makamba,Lukuvi,Sadiki hawa pia wa MIKOANIWatu wa dar bana hamtaki kutawaliwa na wa mikoani halafu mnaomba nguvu kutoka kwa watu wa mikoani!!! Nawashauri muendelee kupata msaada wa bure toka kwa mange(mwanamke wa dar)
Maneno makali haya mkuu.Mimba ilikoingilia ndiko itakakotokea.
Sorry ninamaanisha MibaManeno makali haya mkuu.
"Huyu Ndiye Mwanawangu Mpendwa Niliemchangua Msikilizeni"
Uko vizuri kwenye kugawana ubuyu na kule MMU lakini majukwaa mengine kama haya unapwaya mkuu.Watu wa dar bana hamtaki kutawaliwa na wa mikoani halafu mnaomba nguvu kutoka kwa watu wa mikoani!!! Nawashauri muendelee kupata msaada wa bure toka kwa mange(mwanamke wa dar)
Na kusimulia Isidingo kumbe kwenye siasa ni bashite bashiteUko vizuri kwenye kugawana ubuyu na kule MMU lakini majukwaa mengine kama haya unapwaya mkuu.
Uko vizuri kwenye kugawana ubuyu na kule MMU lakini majukwaa mengine kama haya unapwaya mkuu.
wewe ni wakili msomi?Huoni vijana humu
Na kusimulia Isidingo kumbe kwenye siasa ni bashite bashite
Hahahahaaaaaaa aisee
Aah uwe unagonga hata ka like,unasoma isidingo na kupita kimya kimya acha hizo.
Tatizo mnapenda kuungwa mkono tu hata kwenye pumba za uongo
Ng'ombe hazeeki maini .hongera sana mzee ! nilidhani kijana mwenzangu nijiweke