Kinachotokea ilikuwa ni suala la muda. Mengine ni visingizio cha kuonyesha hasira za kuukosa urahisi. Tangu mwanzo aliamini kuwa yeye ni mshindi.
kamwe raila hawezi kuwa chachu ya haya mambo ila ni wananchi wenyewe wamechoka na ugumu wa maisha na mambo ya ovyoo yanayoendelea.. Raila anatumika kama chambo tu. Kwani leo kina LISU wanalalamika kila siku lakini ushawahi sikia watu wametoka front line>???
 
Yani wenzetu unga umepanda kidogo tuu wameamua kuingia road wabongoo unga umedouble price..mchelee juu..mafuta juu yani labda kitu hakujapanda bei ni DHAMBI tu bongoo lakini sasa TUPO KAMA MAKONDOOO VILE. yani hii nchi ni tupate RAIS wa kutuonea huruma tu ilaa wananchi hakuna wakuongea kitu wala kunyanyua mdomoo hayupo achilia mbali kuingia road maana hiyo ndo HAITA KUJA KUTOKEA MILELE
IPO SIKU CCM Hawataamini
 
That means alipoingia Ruto na mambo yakaanza kuwa magumu !!
 
kamwe raila hawezi kuwa chachu ya haya mambo ila ni wananchi wenyewe wamechoka na ugumu wa maisha na mambo ya ovyoo yanayoendelea.. Raila anatumika kama chambo tu. Kwani leo kina LISU wanalalamika kila siku lakini ushawahi sikia watu wametoka front line>???
Sio Raia, ni wafuasi wa Odinga.
 
Raila Odinga ni mpinzani mtata kweli kweli. Yeye ndoto yake ni kuwa Rais tu wa Kenya. Hana kingine. Maana kama ni mali, anazo za kutosha.
Sasa anakaribia kupata kifo badala ya uraisi.Kifo cha kijinga katika umri wa uzee.
 
Ila wenzetu Kenya wapo mbali sana. Naangalia K24 mahojiano watu wanafunguka bila woga. Hii hapa Tanzania hata hii ya Samia huwezi kufunguka namna hiyo kwanza media zenyewe zitakuzimia mic

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Ukifunguka usiku utafute pa kulala vinginevyo mabwe kunakuhusu.
 
Yani wenzetu unga umepanda kidogo tuu wameamua kuingia road wabongoo unga umedouble price..mchelee juu..mafuta juu yani labda kitu hakujapanda bei ni DHAMBI tu bongoo lakini sasa TUPO KAMA MAKONDOOO VILE. yani hii nchi ni tupate RAIS wa kutuonea huruma tu ilaa wananchi hakuna wakuongea kitu wala kunyanyua mdomoo hayupo achilia mbali kuingia road maana hiyo ndo HAITA KUJA KUTOKEA MILELE
Amani iliyopo ni kheri kubwa mno. Basi tu, baadhi yenu hamjui hili.

Tunamshukuru Allah kwa neema zake kwetu ikiwemo Amani.
 
Back
Top Bottom