kmbwembwe
JF-Expert Member
- Aug 16, 2012
- 10,870
- 7,752
huyo wala si mlawi ila ni mataifa. ni shetani mwenyeweNakusalimia ktk jina la YESHUA ALIYE HAI! YAHU Eloi wetu ametuteua watu wachache sana kuwaongoza wengi. Ktk hao tuwaongozao wamo watakao tuangusha kiimani na pia wamo makwazo yetu. Nakukumbusha kuwa sisi ni walawi. Hivyo haitupasi kuenenda kama mataifa. YESHUA ktk kipindi chake cha kujaribiwa siku 40 hatuoni mahala popote akimtukana shetani. Ila kumkumbusha wajibu wake. Je, kama Rc kakukosea si vema kukimbilia Hebroni au mji wowote wa makimbilio kama mfalme Daud? Je ni vema Mlawi akatoka nje na kuifurahia adhabu ya Yahu wetu kwa Manoha au Ana (mama Samweli) au Sara/ baba yetu Ibrahimu? Ku wapi kujitenga kwetu na mataifa? Injili inasema, kichwa cha mtawala ni halali ya mtawaliwa. Pia inatuhimiza kuzitii mamlaka zilizopo. Kwani mamlaka zote zimewekwa na yy mwenyewe kwa malengo yake mwenyewe. Basi mm na ww imetupasa kuionyesha jamii utii wetu kwa mamlaka sawa na kumtii aliye juu. Haya nikuambiayo hayaitaji vifungu vya biblia kwani unaijua vyema.
YAHU Eloi wa Izraeli akujalie kuwa na hekima ktk hili. Nakukumbusha hili; mtu wa kwenu akipungukiwa na hekima basi na... HALELUYAHU. YAHU ELOI WETU AMEPEWA SIFA.