Curvyminx
Senior Member
- Nov 29, 2016
- 179
- 221
sio dharau ila inatokea tu kuna siku ingine unatamani uwe sayari ingine tu isiokuwa na binadamu wengine
nilikaa safari ya masaa zaidi ya 10 bila kumuongelesha jamaa pembeni yangu lolote, sio dharau ila nilikuwa katika ulimwengu wangu tu, tulipofika, nilimwambia pole na safari, akajibu asante, kila mtu akasepa.