Kimya hiki kwa upoteaji wa Ben Saanane, Serikali imeshindwa?

Na mtu yeyote amwagaye damu ya binadamu mwenzake malipo yake ni hapahapa Duniani.

Damu ya huyu kijana haitaenda hivi hivi.

Tume huru idaiwe mapema ccm itoke vinginevyo watanzania mtapata tabu sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Katika kitu ambacho chadema mmeweza Kukifanya kwa ujasiri bila hata ya huruma kwa mzee Saanane ni Kutokuwa Serious katika suala la Kumtafuta Ben Saanane.

Mmekua mnakuja na Kauli za Kuliongelea kwa Siku Mbili kisha mnalipotezea kwa kweli mnaonesha Ushirikiano hasi sana Kwa hili.

Ben Saanane ni moja ya Nguvu kazi ya taifa hili mtu kama Mbowe he is fully responsible for this nazungumza ni kwa sababu ni Msaidizi wake.

Binafsi katika Juhudi za Kumtafuta Ben Saanane sijasikia Kauli Madhubuti kutoka kwa Mheshimiwa Mbowe.

Kama Chama mna haki ya Kumtafuta Ben kwa kushirikiana na Vyombo vya Usalama lakini Pia Ukimya wa Chadema Na Kufa kwa Bavicha hakuliweki hili kama Serious issue.
Kweli kabisa ulicho sema Hawa chadema hawaeleweki huu ukimya labda wanaujua...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Katika kitu ambacho chadema mmeweza Kukifanya kwa ujasiri bila hata ya huruma kwa mzee Saanane ni Kutokuwa Serious katika suala la Kumtafuta Ben Saanane.

Mmekua mnakuja na Kauli za Kuliongelea kwa Siku Mbili kisha mnalipotezea kwa kweli mnaonesha Ushirikiano hasi sana Kwa hili.

Ben Saanane ni moja ya Nguvu kazi ya taifa hili mtu kama Mbowe he is fully responsible for this nazungumza ni kwa sababu ni Msaidizi wake.

Binafsi katika Juhudi za Kumtafuta Ben Saanane sijasikia Kauli Madhubuti kutoka kwa Mheshimiwa Mbowe.

Kama Chama mna haki ya Kumtafuta Ben kwa kushirikiana na Vyombo vya Usalama lakini Pia Ukimya wa Chadema Na Kufa kwa Bavicha hakuliweki hili kama Serious issue.

watekaji si wanajulikana ni wale wale roma aliowaimba
 
nakumbuka mbowe alisimama bungeni akiomna waziri mkuu kama serikali yake imeshindwa waletwe scotland yard lakini serikali ikakataa, hapo nilijuua moja kwa moja serikali inahusika, juzi nikisikia clip ya roma na millard ayo ikisema waliomteka mwalimwambia hawamuachii mpaka 2030, sasa nahisi hata ben nae inawezekana moaka mkulu atoke madarakani ndio maana akina mangu, siro hawajarudi na jibu loloye, wapo kimya kwa hilo

nitakuunga mkono pale utakapoacha chuki, ubaguzi na visasi
 
walishamtoa sadaka ya damu baharini walimfunga jiwe wakamtosa kwenye kina kirefu cha maji ili wakireta hoja za maji taka tuwasikilize kama zamani eti hata hili la mchanga wanataka tuwasikilize kwamba kipenzi chetu amekurupuka atareta matatizo kwenye taifa letu hawa jamaaa ni washenzi sana na wananjaaa sana nakama ningekuwa raisi upinzani ningefuta kabisa
Bombadier Q400 imekamatwa,chanzo ni ukurupukaji,subiri na mchanga.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kweli. Chadema tuwanyooshee kidole kwa upotevu wa huyu kijana. Na pia watambue kuwa imetukosesha imani wengi ya kushabikia chdma kwa hofu ya kupotezwa na bila kupata msaada wiwote toka CDM

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom