GIUSEPPE
JF-Expert Member
- Dec 31, 2011
- 5,239
- 6,225
Yatosha. Sina mchango wa zaidi. Wenye akili ndo wataelewa. lakini wale wanaofungiwa wafundishwe namana ya kuongea kwenye jumba kuu la idodomia wanaweza wakafikiri ni hekaya tu.Malori!!!
Lori!!!!
Biblia husema kimtokacho MTU ndicho kilichoujaza moyo wake.
Malori yana kawaida ya kuendeshwa na dereva mmoja tu iwe yale ya safari fupi au ndefu,tofauti na mabasi ya safari ndefu ambayo huwa na madereva wawili!!!
Malori huwa na KONDAKTA mmoja tu wakati mabasi huwa na makondakta wawili au kadhaa!!!
Mwisho na muhimu sana, malori hayabebi WATU yanabeba MIZIGO!!!
Dereva wa basi linaloenda Mbeya,abiria wakifika Chalinze wakachepushwa kwenda Arusha watahoji, lakini kamwe MIZIGO haiwezi kuhoji hatma ya safari yao!!!!