Simara
JF-Expert Member
- Oct 1, 2014
- 7,512
- 23,917
Mkuu kama kitu ukijui kaa kimya tu, hiyo swimming ipo hata wakina Ivan washawai pigia picha hapo.Labda hujamuelewa Mondi, anatafuta kiki tu kajipanga kufanya kitu flani, anajua picha kama hiyo watu mtaiongelea sana, ila wabongo hata kuumiza kichwa kidogo tu mmeshindwa?
Hiyo picha we unaona ni ya ukweli? huoni imefanyiwa manipulation? Au hata hiyo miti hujaiona? Swimming pool inaweza kukaa eneo la namna hiyo kweli? Ndani ya swimming pool unaona vizuri kweli mwili wa Zari? Photoshop tu isikuume moyo.
Sasa turudi kwenye makenikia ndo story ya mjini sasa hivi, mambo ya celebrities na mapenzi yao ni useless kwa watu wengine.
Hizo picha zipo zaidi ya tatu sasa umeona hiyo moja then unatoa hitimisho eti 'picha feki' hata kama unampenda zari sana usiwe kipofu namna hiyo.
Diamond kama kafanya kiki kwa suala kama ilo atakua kaniboa sana, zari ni mama watoto wake hatakiwi kumuekea 'caption' za hivyo ni kumdhalilisha