KIMENUKA DAR: Wananchi Kinondoni wafunga Barabara ya Kawawa eneo la Mkwajuni kupinga Bomoabomoa

Attachments

  • 1453112105029.jpg
    1453112105029.jpg
    48.1 KB · Views: 40
Hao wanaopinga bomoabomoa wauliwe tu....hakuna haja ya kutumia magari ya washawasha.serikali ikisema lazima watii.Uwa wote.
 
Mkwajuni
 

Attachments

  • 1453112587991.jpg
    1453112587991.jpg
    31.9 KB · Views: 33
  • 1453112614703.jpg
    1453112614703.jpg
    48.3 KB · Views: 33
Magufuli angeanza na Tanesco na majumba makubwa makubwa yaliyojengwa sehemu zisizotakiwa hawa wa mabondeni wangehama wenyewe lkn hii kuwavunjia walalahoi kisha unawaacha wenye nazo inaleta sintofahamu.
jp hanatofouti na mkwere walewale
 
Nipo ndani ya daladala ambayo imebadili njia kwa ajili kuna watu wanachoma matairi barabarani huko mbele.

======
UPDATES:

Wakazi wa Kinondoni wafunga barabara ya Kawawa eneo la Mkwajuni wakipinga #bomoabomoa ya nyumba zao!

1f702828f2ee6e2f3886e98630f2c9c5.jpg

090130944a7d0c5db73d5e873e5be388.jpg

View attachment 317590
wana uwezo wa kuigomea serikali lakini hawana uwezo wa kugomea Mafuriko, lazima hili nalo walitafafakari la sivyo watapoteza maisha.
 
Kwahiyo kuwa MASIKINI

NI KINGA Ya kutokuwajibika na kuvunja sheria?
Magufuli hapambani na masikini bali anataka kuokoa maisha ya masikini, maana Mafuriko hayajari kuwa huyu ni masikini au ni tajiri na wote waliokufa 2012,1013, na mafuriko yajayo ni masikini hawa hawa, tubadilike tulilia mabadiliko sasa ndiyo haya lazima baadhi waumie ndo mabadiliko yenyewe, acheni sheria ifanye kazi yake.
 
Back
Top Bottom