Atarudi kwa tiketi ya Chadema kama BulayaKufuatia kikao cha dharura muda huu cha CCM Pamoja na wqjumbe wote imekubaliana kumfukuza uwanachama wa ccm Hussein Bashe na mbunge wa Nzega muda huu baada ya kupigana kikaoni akipiga ukiukaji wa taratibu.
Swali langu: Katiba ya ccm inaelekezaje jinsi ya kuwafukuza wanachama watovu wa nidhamu na wasaliti ndani ya chama ?
Je hawapewi nafasi ya kujitetea na kuitwa kuhojiwa?
Mimi naona hapa sasa demokrasia haikufuata mkondo wake kwakua hawajapewa nafasi mbele ya kamati
Shikamoo mwenyekiti mpya wa ccm ya sasa
Hakika namba wameanza kuisoma wale ccm wenyewe
CC Lizaboni
We ndio mwehu kweli chama kina miaka 40 hakijaimarika?Ukawa mmefulia acheni CCM ijiimarishe!
Wapuuzi hawa wa majambazi na vibaraka wa pogba hawawezi kuishi na kufanya kazi na vijana wanaojielewa kama husein bashe. Acha hayo masokwe na nyumbu wabakiKufuatia kikao cha dharura muda huu cha CCM Pamoja na wqjumbe wote imekubaliana kumfukuza uwanachama wa ccm Hussein Bashe na mbunge wa Nzega muda huu baada ya kupigana kikaoni akipiga ukiukaji wa taratibu.
Swali langu: Katiba ya ccm inaelekezaje jinsi ya kuwafukuza wanachama watovu wa nidhamu na wasaliti ndani ya chama ?
Je hawapewi nafasi ya kujitetea na kuitwa kuhojiwa?
Mimi naona hapa sasa demokrasia haikufuata mkondo wake kwakua hawajapewa nafasi mbele ya kamati
Shikamoo mwenyekiti mpya wa ccm ya sasa
Hakika namba wameanza kuisoma wale ccm wenyewe
CC Lizaboni
Kama upo CCM na unataka kugombea 2020 hamia upinzani maana huko huwezi tena