Kima punju; mnyama apatikanaye vijijini Zanzibar pekee duniani

Thabit Madai

Member
Oct 8, 2024
36
83
FB_IMG_1728750653036.jpg

Na THABIT MADAI, ZANZIBAR

BAADHI ya watu wengi hawafahamu vivutio vilivyopo visiwa vya Zanzibar, ambapo huwa wanafikiria kuwa ina uzuri wa fukwe za bahari tu, La hasha, si fukwe tu bali kuna vivutio vingi vya asili ambavyo hupatikana ndani yake nakuifanya kuwa maarufu zaidi Duniani.

Vivutio kama vile, mji mkongwe wa Zanzibar, Magofu ya kale, nyumba za ibada za zamani,utamaduni wa Mzanzibar, Kisiwa cha changuu, uwepo wa pomboo kizimkazi, maeneo yaliyokuwa wakiishi viongozi waliopita ambayo yana kumbu kumbu ya kutosha pamoja na Msitu wa Jozani.

Hivyo ni baadhi ya tu ya vivutio vilivyopo ndani ya visiwa vya Zanzibar lakini makala hii leo itangalia kwa kina kivutio cha Msitu wa Jozani na neema za zilizosheheni ndani yake.

#MSITU WA JOZANI

Ni umbali wa kilometa 35 kutoka kusini mashariki mwa Unguja hadi kufika katika hifadhi ya msitu wa Jozani ambao hupatikana katika ghuba ya Chwaka, hifadhi hiyo imepakana na vijiji tisa ambavyo ni Pete, kitogani, Ukongoroni, Chwaka,Unguja Ukuu,Charawe, Michamvi na cheju.

Hifadhi ya msitu wa Jozani una vivutio vilivyogawika katika sehemu Tatu , vikiwemo Daraja la Mikoko, sehemu ya wanyama pamoja na msitu.

#DARAJA LA MIKOKO

Daraja la mikoko lipo kati moja ya kivutio ndani ya msitu huo kutokana na urefu wa daraja hilo pamoja na

Miti ya Mikoko ilivyoshonana na kunawiri vizuri katika maji chumvi yalioko chini ya Daraja hilo la mbao.

Kwa umbali ni dakika 40 kwa miguu kuweza kulimaliza daraja hilo ambalo limepambwa na vipepeo aina mbali mbali kama vile Dadanesi na wengine wengi wenye rangi tofauti tofauti za kupendeza kama vile Karasisi ambaye hupatiakana Zanzibar tu.

Mikoko hiyo ipo ya aina tatu : mikoko meupe,mikoko meusi na mikoko mekundu(magando) ambayo ndio inaengeza hadhi ya Daraja hilo kutokana na miti hiyo kuwa na matawi mengi na mizizi yake huchomo juu ya ardhi kwa kiasi kikubwa jambao ambalo huwezi kuwamini kama mizizi waweza hisi nayo ni jumla ya matawi ya miti hiyo.

#MSITU

Msitu huo una miti ya aina mbali mbali kama mitondoo, mivinje , mikaratusi miti mafuta, mikonge, mikangara shamba na mingi mingineyo, ambayo ina urefu wa ajabu na kushonana juu yake jambo ambalo hufanya jua lisionekane katika eneo hilo.

kuna baadhi ya miti ni dawa na hii mara nyingi hupatikana katika msitu huu wa Jozani kama vile Misiliza ambayo hutumika kama dawa ya kuondoa minyoo tumboni.

#SEHEMU YA WANYAMA

Sehemu ya Wanyama ndani ya Msitu huo ndio iliyoibeba umarufu wa Msitu huo kwa kupatikana wanyama ambao adimukuonekana katika hifadhi nyingine yoyote Duniani.

Wanyama hao kama vile vile chura wa Jozani,Chuwi wa Zanzibar, Jongoo wa Jozani, Paa nunga na Kima punju (Red Colobus Monkey) ambao wamekuwa vivutio vikubwa vya utali na kuwafanya watu kila kona ya Dunia kufunga safari na kwenda kuvingalia vivutio hivyo

Katika Wanyama wote hao, Kimapunju ndio kivutio kikuu cha watalii kutokana na rangi yake ,umbile na tabia yao ya kuishi ujamaa kama Binadamu.

#KIMA PUNJU;

FB_IMG_1728750653036.jpg

Muonekana wa Kima Punju Uso wake ni mweusi una taji la manyoya meupe, rangi ya pinki kwenye midomo na pua na mkia mrefu wenye rangi nyeusi.

Umri wa kuishi wa Kima Punju ni miaka 20 hivyo katika kipindi cha miaka 20 anayoishi duniani anaweza kuzaa watoto saba, ingawa anaweza kuzaa mapacha lakini huwa ni nadra kutokea.

Kima mchanga anapozaliwa anakuwa mweusi lakini rangi yake hubadilika baada ya miezi sita.

Kima Punju anabaleghe baada ya miaka 6 na anaeba ujauzito kwa miezi sita na kulea mtoto wake kwa miezi 16 kabla ya kupata mimba nyengine.

Kima punju huishi kwa kufuatana kwa makundi kwa wastani 50-80 kama wanavyoishi mbwa mwitu, na kila kundi la kima Punju huwa kuna dume mmoja ambapo dume huyo kamwe hakubali kuliacha kundi hilo kuingiliwa na dume mwengine hadi kufa kwake.

Ila Dume anaweza kupinduliwa nadume iwapo mtoto wake amekuwa na na anataka kufaya mapinduzi aongoze yeye kundi, itambidi apigane na kiongozi wake ambaye ni baba yake.

Kushinda katika mapigano hayo ndio paamfanya awe kiongozi wa knambapo ili mtoto afanye mapinduzi inamlazimu apigane na kiongozi wake ambaye huwa ni baba yake ili aongoze yeye kundi ashinde mapigano kwa kumjeruhi, kuumua au ampige hadi kukimbia.

Inaelezwa kuwa Kima dume huonyonyeshwa zaidi kuliko jike, ananyonyeshwa ile aje kuwa na uwezo wa kuwa na familia yake, hivyo anakua akiwa na ndoto ya siku moja kuwa na familia yake hivyo anakuwa na nguvu zaidi kuliko jike.

kila kundi linaishi mtaa wake na wanajuka kutoka mienendo yao ingawa mienendo yao hutofautiana kutoka na hali ya upatikanaji wa chakula.

Kima punju hupendelea sana kula majani machanga ya miti kama vilele vya mipera na majani ya mikungu ambayo ndio hupendelea kula zaidi jambo ambalo husababisha mikungu yote ya Jozani kutokuwa na majani kabisa kwani yakichipua tu huliwa na wanyama hao.

Chakula anachokula kima Punju hula maganda ya matunda kama vile Embe, Mapera na makoroma ya nazi na hawali kabisa matunda yenye sukari kama vile Embe mbivu ,Ndizi mbivu kutokana na matumbo yao kushindwa kusaga vitu vya sukari (insuline hormone) hali hii huwafanya kutokuwa na uhasama na kima wengine.

Vile vile Kima punju hupendelea kula makaa meusi kama tiba ya maradhi mbali mbali yanayowasumbua na ni kinga ya maradhi yao.

Cha Ajabu ambacho anacho kima punju huwa nacho kuwa hukaa zaidi ya miezi mitano bila kunywa maji kutokana na vyakula wanavyokula si kumtaka kunywa maji, kwani mara nyingi hula vyakula vyenye ukakasi vikiwemo vya majani machanga.

Kikawaida Kima punju huwa wanaishi maisha ya kupendana wao wenyewe kwa wenyewe pia huwa hupenda sana kuwatizama watu wanafika katika eneo lao kwa lengo kuwangalia wao, Mara nyingi hufurahi na kucheza wakiwa na watu kama vile watalii katika eneo lao.

Furaha yao inamaanisha kuwa ni Faraja ya moyoni kwa kutembelea, Tabia hii huwa nayo kima tu pekee ambapo binadamu unapo waita huwa wanakua na kucheza pamoja lakini kitu ambacho huchukia zaidi ni kupigwa.

Wageni wengi wakifika eneo lao kima punju huwa wanashuka na kuwapokea wageni hao huku wakiwa wenye lengo la kupokea zawadi mulizowaletea kama vile ndizi n.k.

Kuna Tabia ambayo kima Punju huwa nayo kama alivyotueleza Mkuu wa Hifadhi ya msitu Khamis Moh’d alisema kuwa Kima punju huwa anatabia ya kuwakimbia watu wenye Asili ya watu weusi( afrikan people).

“hii inatokana kuwa hapo awali wakazi wa vijiji vinavyozunguka na hifadhii walikuwa wakiwapiga mawe kutokana na kuwalia mazao ya mashambani pia kuvamia makazi wanayoishi binadamu,” alisema Khamis Khamis Mkuu wa hifadhi.

Mradi wa kuhifadhi msitu wa Jozani wa Jozani-Chwaka Bay Conservation Project uliokuwepo kati ya mwaka 1995 mpaka mwaka 2003 ulimchagua mnyama huyu kuwa kwenye nembo ya utunzaji mazingira Zanzibar.

Yote kwa yote cha kusikitisha kuwa Kima punju wako kwenye hatari kubwa ya kupotea ambapo tayari Shirika la Kuhufadhi Wanyamapori Duniani (IUCN) limewaweka kwenye mstari mwekundu. Hali hii imetokana na makazi hao kuharibiwa na binadamu kwa uvunaji wa miti kwa ajili ya mbao, uchomaji wa misitu na usafishaji wa misitu kwa ajili ya mashamba.

Ambapo Kwa sasa idadi yao imepungua hadi kufikia chini ya 3,000 kutokana na uharibifu wa msitu kunakosababisha kupungua eneo lao la kutafuta malisho na kupelekea kupigana wao kwa wao.

#FAIDA YA HIFADHI YA JOZANI

Mkuu wa kitengo cha Utalii Salum Ramadhani alisema kuwa Msitu wa Jozani ni miongoni mwa sekta muhimu ya utalii yenye kuingiza fedha nyingi kwa serikali,kutokana na kuwa na vivutio vya kila namna katika hifadhi hiyo.

“Kila mwaka tunapokea wageni kutoka sehemu mbali mbali ndani na nje ya nchi takribani 25,000 kwa mwaka ambao huchangia zaidi ya Tsh milioni 400,” alifafanua.

Aidha alisema wageni wengi kutoka nchi za Ujerumani, Uingereza, Marekani,Ufaransa na Italia, Wageni wengi zaidi hutoka utaliana kutokana na kuwa na usafiri wa moja kwa moja.

FB_IMG_1728750653036.jpg

Aliendelea kwa kusema kuwa mapato yanayopatikana kutokana na uingiaji wa wageni hao hugawa katika mafungu mawili alifahamisha kuwa,Fungu la kwanza ni la serikali ambalo ni asilimia 50 na fungu la pili ni la wanavijiji ambalo nalo ni asilimia 50 kwa wanavijiji waliozunguuka hifadhi hiyo.

“Hii ni Kutokana na kuharibiwa mazao yao na wanyama waharibifu kama kima,Nguruwe pamoja na wanyama wengine na kukosa maeneo ya kutosha kwa ajili ya kilimo kikiwemo kijiji cha Pete kutokana na eneo kubwa la ardhi yao kuingia ndani ya hifadhi hiyo,” alifafanua.

Nae mmoja miongoni mwa wanavijiji hao Moh’d Ali Mchobwa alisema kuwa kwa sasa wanafaidika na hifadhi hiyo kwa kupokea fedha kutoka katika mgao wa kila mwaka na kufanikiwa kujenga skuli kwa maendeleo ya watoto wao.

“Zamani walikuwa watoto wanapata tabu sana maana wanatembea masafa marefu kufuata Elimu kwenye vijiji vya mbali kama vile Kitogani na Muyuni,” alisema.

Hata hivyo ,mkuu wa hifadhi hiyo alisema, licha ya Hifadhi hiyo kuwa na faida nyingi pia hukabilwa na changamoto mbali mbali zikiwemo kuungua moto kila baada ya mwaka kutokana na mkusanyiko wa majani mengi ambayo hupelekea kuwaka moto wenyewe.

Aidha sababu nyengine zinazopelekea msitu huo kuungua moto ni uvunaji haramu wa Asali pamoja na wasasi ambao hutafuta wanyama kama nguruwe na Paa kwa ajili ya kitoweo,Hivyo kutokana na kazi hiyo ngumu ya uwindaji ambayo hufanywa wakati wa usiku baadhi ya wasasi huvuta sigara na vipande hutupwa na kusababisha mlipuko wa moto.

Pia aliendelea kwa kusema kuwa wanao walinzi mbali mbali lakini bado suala hilo linakuwa guumu kutokana na ukubwa wa Hifadhi hiyo.

Alisema kutokea kwa moto husababisha kukimbia kwa wanyama kama vile paa na hata wanyama wengine ambao ni wazito kukimbia hufa mfano Chatu, Nyoka na hata wadudu wadogo wadogo wakiwemo Jongoo wa Jozani pamoja na miti ya asili kutoweka.

Hifadhi ya Jozani si hifadhi ya kuoteshwa bali ya asili na rasilimali zilizomo zimehifadhiwa tangu zamani.

Katika eneo la Jozani palikuwa na mtawala aliyejulikana kwa jina la JOSHI, ambae alikuwa mfanya biashara wa kihindi.Mfanya biashara huyo alikuwa akiishi eneo hilo mnamo mwaka 1930 hadi kufikia 1996 msitu huu ulirejeshwa mikononi mwa wanavijiji ilikuwa ni hatua ya kwanza kuhifadhi na kuulinda.

Mfanya biashara huyo ambae alikuwa akiishi karibu na Bwawa la Mwajoza ambalo alikuwa akitumia kwa shughuli mbali mbali za kila siku, Hivyo jina la mtawala Joshi na eneo alilokuwa akiishi Mwajoza ikapelekea kupatikana kwa jina la Jozani.

FB_IMG_1728750650148.jpg

Imeandikwa na THABIT MADAI
 
View attachment 3122855

View attachment 3122859

View attachment 3122860

View attachment 3122858

Imeandikwa na THABIT MADAI
Huyo huku bara anaitwa mbega.
 
Zanzibar kwa utalii mko namba moja, wiki iliyopita niliweza kufika huko kama mtalii wa ndani; kwa ujumla nilipafurahia.

Hakuna matata
 
Mbona yupo kwenye misitu kule kwetu kilimanjaro. Tulikuwa tunawaita mbega
 
Jina maarufu wanaitwa red monkeys.
 
Back
Top Bottom