Kilio kwa Azam Media

Hii media ili haidi kuonyesha euro kupitia zbc2 lkn wkawa wanachagua mechi ss hadi leo hawaonyeshi nusu final ya France vs German kw nn na huo uzinduzi wa channel mpya mkasema mtaonyesha mpira leo VP
Angalia Tv ww game iko live wacha kukurupuka kama unaoga nje
 
AZAM TV wajinga saana.nimepoteza kadi longo longo nyingi.nafikiri wameajiri marketing manager mbumbuu tena mtanzania wa ccm.kazi ki mazoea tuuu
 
Wanaonyesha mpaka sasa France anaongoza 1-0 na mpira ni HT, ila jana mechi ya Portugal na Wales hawakuonyesha acheni hiyo tabia ya kuchagua mechi.
 
Back
Top Bottom