Kilimo cha Mitiki: Utaalamu na biashara yenyewe

[
fc151c914d6ac159bf783878062ad069.jpg

Miti ya mitiki ni miongoni mwa mbao ambazo zipo expensive kwenye soko la dunia. For 2016 ubao wa kwaida wa mtiki yani 4×4 ×12 unauzwa araund 40,000 tsh. Ila hii miti hutumia muda mrefu kukua yan naongelea zaidi ya miaka 20. Ila kwa teknologia mpya zimekuja aina ya mitiki yani chotara inayoitwa TISSUE CULTURE TEAK. hii inapandwa sana india na inaweza kuvunwa baada ya miaka 13 nakuendelea. Upandaji wa miti ya mitiki unahtaji uvumilivu na utaharamu sana ukilinganisha na miti mingine ila faida yake ni kuwa. Yan mti mzima wa mtiki wa miaka 20 unaweza kuuza zaidi ya 1,000,000.
 
Asante kwa mchango wako ila siku hizi Mbegu za mitiki zimeboreshwa na miti huweza kuvunwa kuanzia miaka saba (7) na kuendelea, hii ni kwa mujibu wa Wakala wa Mbegu za Miti Tanzania (Tanzania Tree Seed Agency - TTSA)
 
Afrika nchi inayoongoza kwa soko la mitiki ni india. Na mitiki yao ingawa imeboreshwa inavunwa kuanzia miaka 15. Iyo ya miaka saba ndyo utavuna lakini huwez kucompete kwenye soko la kimataifa.
 
Afrika nchi inayoongoza kwa soko la mitiki ni india. Na mitiki yao ingawa imeboreshwa inavunwa kuanzia miaka 15. Iyo ya miaka saba ndyo utavuna lakini huwez kucompete kwenye soko la kimataifa.
Shamba la miti lina matumizi mengi na si wote watasubiri wavune, kuna watakao yauza, watakao yatumia kama bond za kuchukulia mikopo ktk taasisi za fedha n.k
Kwa mujibu wa Wakala wa Mbegu za Miti Tanzania mitiki huvunwa kuanzia miaka 7 - 40,
 
Mkuu, nina shamba huko Sikonge mkoani Tabora, je naweza panda mitiki au ni mti gani ya mbao ninayoweza kupanda?
 
Mkuu hicho kilimo nakifanya Mimi sasa ivi lakini kuna utaalamu Gani unachukuwa wa umbali Gani Kati ya shimo na shimo?
 
Futi tano (5) mpaka sita (6) zinatosha. Miti inahitaji nafasi ili ikuwe vizuri.
OK BT Mimi napanda shimo hadi shimo mita 4 na upana mita 2 BT Leo nimetoka shamba kuna MTU amenishauri huo umbali ni mkubwa nijazie Miche katikati
 
Unaweza kuvuna kuanzia miaka saba (7) na kuendelea, pia sidhani km majani yake yanaweza kulika na mifugo.
Mkuu naomba unisaidie kuhusu elimu ya kilimo cha mwarobaini,nina ekar kama 25kilosa Moro ninafikiria nipande mti wa mwarobain
 
Nimeipanda na pia naotesha mingine nikaipande, naotesha Mitiki na Arborea (Mfudufudu)
Mkuu naona unaotesha miche na lazima Utahitaji viriba. Ni wapi wanapouza viriba kwa jumla hapa Dar?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom