sijanunua mbegu za box, nilichukua mbegu kwenye shamba la mtu , mbamia unazaamara nyingi mpaka inakua kama mti.Tuma pic ya aina ya mbegu uliyo panda mkuu yaani lile box lake maana kuna mbegu za aina nyingi
sijanunua mbegu za box, nilichukua mbegu kwenye shamba la mtu , mbamia unazaamara nyingi mpaka inakua kama mti.
Miss you too J wangu. Nipo, mambo yamebana.nimekumiss sana.
Kibaha unaweza kulimia ila hizi mvua zinasumbua sana,
angalau kuwe na chanzo cha maji mvua zikipotea umwagilie.
Hapo nimekosea kuandika ilitakiwa iwe elfu hamsiniMkuu hii figure ya 500000 ni sahihi!?
Ni elfu hamsini. Nilikosea kuandikaMkuu kerengek , unamaanisha bei ya Laki 5 (500,000) ? au elfu 50 (50,000) ? kwa kiloba cha kilo 50
-Kaveli-
Red royol wanazo mbegu ambazo sio f1 kopo linaanzia elfu tano gram 100. Na malikia wanazo mbegu f1 kopo elfu kumi na tano gram 50. Kanunue kisha ukapande utaona matunda yake.sijanunua mbegu za box, nilichukua mbegu kwenye shamba la mtu , mbamia unazaamara nyingi mpaka inakua kama mti.
Mkuu ekari moja gramu ngapi zinatosha?na f1 ipi ni nzuri zaidi kwa soko la darRed royol wanazo mbegu ambazo sio f1 kopo linaanzia elfu tano gram 100. Na malikia wanazo mbegu f1 kopo elfu kumi na tano gram 50. Kanunue kisha ukapande utaona matunda yake.
Angalia bamia ambayo inafaa kuchumwa muda mrefu,Mkuu Hornet, heshima kako. Mtu anaetaka kulima mboga mboga, au bamia pekee, waweza mpa ushauri gani wa muhimu kuzingatia? ni biginner kwenye hii bizness. Maeneo ya mbagala ndo anataka kulima.
-Kaveli-
Mkuu heka moja inatoa bamia gunia ngapi?Red royol wanazo mbegu ambazo sio f1 kopo linaanzia elfu tano gram 100. Na malikia wanazo mbegu f1 kopo elfu kumi na tano gram 50. Kanunue kisha ukapande utaona matunda yake.
Mkuu toa contact tujue tunakupataje.msaada unahitajika japa hasa kwenye swala la spacing ili kujua pia idadi ya mimea.na kuathiri kwenye mapatoNi elfu hamsini. Nilikosea kuandika
zipo hekali nyingi ruvu jkt kama unahitaji mpaka sasa hujapata niambie nikupeleke niPM MKUUkwa dar na pwani wapi naweza pata eneo la kulima walau ekari 5,wadau.
***zipo hekali nyingi ruvu jkt kama unahitaji mpaka sasa hujapata niambie nikupeleke niPM MKUU