Wimbo
JF-Expert Member
- Oct 23, 2012
- 814
- 564
Miradi mingi ya ujenzi wa miundombinu inajegwa na wakandarasi wa kigeni hasa Wachina, miradi hiyo mingi imesimama pesa ya kuwalipa hakuna. serikali inajaribu kuwashawishi waendelee kujenga kwa fedha zao na sisi tutalipa riba ambayo ni mzigo mkubwa kwa Nchi, yapo mambo mengi madogomadogo Mama ameji commit kuyafanya na pesa haitoshi, muda nao ni mfupi wa kukamilisha yale yaliyoahidiwa na ilani ya CCM, tusipokuwa waangalifu na mikopo hii Nchi itawekwa rehani kama ilivyotokea kwa WaZambia Kheri mengo kavu kuliko pilau ya deni.