TataMadiba
JF-Expert Member
- Feb 7, 2014
- 9,866
- 5,743
Majaliwa hawezi kuwa na tamaa ya madaraka kama wana wa kaskazini
Ukiwa na tamaa ya madaraka stahiki za U-PM zinasaidia nini?Elimu ya Sumaye nayo ilikuwa ni shida.
Kwani alikuwa halipwi stahiki za u PM?
Hilo nalo neno!!!Ukiwa na tamaa ya madaraka stahiki za U-PM zinasaidia nini?
System gani ambayo aliotupwa unayoongelea?? Kwamba hajapewa mafao yake ya kustaafu uwaziri mkuu au?Sumaye alifikia kupata madaraka makubwa katika 'umri mdogo'... Baada ya kustaaf uwaziri mkuu, CCM ilimtupa nje ya system kwa mda wa miaka kumi, na bahati mbaya hakuwa na michongo ya kimataifa kama waliyonayo 'watoto wa mjini' kina JK na BWM...
Basi kwa kuwa hakuwa na la kufanya tena hapa town, ikabidi akajifungie zake Kibaha, na alikaa katika jela hiyo kwa mda wa miaka kumi.
Hii ndio ilikua chanzo cha Sumaye kupandwa na hasira kuona kwa nini CCM imemtelekeza akaamua kulipizia machungu yake kwa kuwasupport upinzani.
Hofu yangu ni kuwa, baada ya miaka nane, Majaliwa bado atakuwa 'kijana mbichi' na huenda angependa kuwepo kwenye political stage.
Wasi wasi wangu ni kuwa baada ya kumaliza kipindi cha uwaziri mkuu, chama kitamuweka kando na political elite mpya itazaliwa.
Majaliwa huenda hatofurahia kukaa kando kama ilivyokuwa kwa Sumaye, naye ataweza kuamua kukiadhibu chama kama alivyofanya Sumaye...
Kwa hiyo kwa kuwa lolote laweza kutokea, ni vyema Kassim akajiandaa kisaikolojia mapeema ili asije kuwa frustrated na chama chake...
View attachment 510589
Dawa ya mpika fitna we ile tu.Not Necessarly...ila CCM huwa wana roho na maamuzi yaumizayo sana.
Hayo yameanza kumtokea Nape, atakayefuatia ni Kinana.
Usicheze na polepole na Bashite weyee...wapishi wa fitina.
Mbali na ufugaji wa nyuki, Pinda ndiye mkuu wa chuo kikuu cha Sokoine (SUA).Kwaiyo yeye exposure hawajampa kama sumaye mkuu mbona hana kuhelehele
Sumaye alifikia kupata madaraka makubwa katika 'umri mdogo'... Baada ya kustaaf uwaziri mkuu, CCM ilimtupa nje ya system kwa mda wa miaka kumi, na bahati mbaya hakuwa na michongo ya kimataifa kama waliyonayo 'watoto wa mjini' kina JK na BWM...
Basi kwa kuwa hakuwa na la kufanya tena hapa town, ikabidi akajifungie zake Kibaha, na alikaa katika jela hiyo kwa mda wa miaka kumi.
Hii ndio ilikua chanzo cha Sumaye kupandwa na hasira kuona kwa nini CCM imemtelekeza akaamua kulipizia machungu yake kwa kuwasupport upinzani.
Hofu yangu ni kuwa, baada ya miaka nane, Majaliwa bado atakuwa 'kijana mbichi' na huenda angependa kuwepo kwenye political stage.
Wasi wasi wangu ni kuwa baada ya kumaliza kipindi cha uwaziri mkuu, chama kitamuweka kando na political elite mpya itazaliwa.
Majaliwa huenda hatofurahia kukaa kando kama ilivyokuwa kwa Sumaye, naye ataweza kuamua kukiadhibu chama kama alivyofanya Sumaye...
Kwa hiyo kwa kuwa lolote laweza kutokea, ni vyema Kassim akajiandaa kisaikolojia mapeema ili asije kuwa frustrated na chama chake...
View attachment 510589
Acha uongo wewe.Ana uwezo huo wa nyuki!?. Jamaa ni mkuu wa chuo kikuu cha Sokoine, Morogoro.So anajichotea tu mabilioni ya HESLB pale.Mbona Mizengo Pinda yupo fresh,mtoto wa mkulima sahz anafuga nyuki Hana shida na mtu.
Ndg kuna tofauti kubwa sana ya kielimu kati ya Mjaliwa na Sumaye! Tofauti nyingine;Sumaye alifikia kupata madaraka makubwa katika 'umri mdogo'... Baada ya kustaaf uwaziri mkuu, CCM ilimtupa nje ya system kwa mda wa miaka kumi, na bahati mbaya hakuwa na michongo ya kimataifa kama waliyonayo 'watoto wa mjini' kina JK na BWM...