Kila ninapokuwa watu wananikodolea macho

Eleza mkuu wanakuangalieje coz km ni kukuangalia wote huwa tunaangaliwa, pia km wanakuangalia kwa kukushangaa may be ww ubaweza ukawa ni mweusi sana, mweupe sana, mfupi sana, mnene sana, mwembamba sana, au pengine ni mchafu au upo rough sana, mtanashat sana, una sura nzur au umbile zur sana, au yawekana sura mbaya sana...... mambo meng yawezekana yakachangia uangaliwe sana na watu.

Pengine ni mambo ya nyota ingawa mm siyaamin sana
Kumwangalia mtu kwa sekunde tatu au nne zinatosha, lakini mimi wanakodoa sana.
Tabia ulizotaja siyo kivile.....Na monekano wangu siyo mbaya wa kunifanya nionekane kama kituko.Kingine kama sihudhurii tukio muhimu situpii kushine, nakuwa normal.
 
mkuu rejea thread amesema hadi watoto na wazee pia huwa wanamkodolea mijicho, sasa sijajua huyu jombaa ana nn aisee
Dah yan hapa sasa hebu tusubir wataalam wa mambo watasema. Ningekua na mamlaka kubwa kwenye jamii ningewaomba tu watu wasimwangalie vinginevyo atakaekiuka atachukuliwa hatua kali sana LAKIN kwa bahat mbaya cna huo uwezo ingawa nina nia ya kumsaidia huyu rafik
 
We inswezakanaa n mweusi sanaaa
Kama sio mweusi bac mweupee sabaaa
Kama sio vyote ivoo bac we bonge la Handsome
Kama sio ivooo... Bac w unatishaa na kama hautishi bac w una ndonga kubwaaaa
 
????? mh!
 
Ilo ni wenge tuu tena kwakuwa umeshajiwekea kwamba nikipita watu wananikodolea macho watakukodolea kweli kweli..chakufanya wew kuwa busy na mishe zako hata utawaona wanaokushangaa
Kwa maekezo yako inaonekana wew ni mshangaaji wa watu saa ukikuta macho yamegongana ndo unajishtukia
 
mimi navojua definition ya kushangaa ni kumuangalia mtu! sasa mkuu kama utakua unawaona wanakushangaa means kwamba na wewe unawaangalia kwa iyo apo wote mnashangaana
 
Wakuu wa baraza heshima kwenu,

Kila ninapokuwa watu wananikodolea macho kupita kiasi. Niwe mitaani, barabarani, sokoni au sehemu yoyote watu wananishangaa bila kujua nini sababu. Watoto, wazee, watu wa rika langu, watu wazima na wa jinsia zote wamekuwa wakinikodolea macho sana. Wengine wanakodoa kwa kujificha na wengine waziwazi.

Nashtushwa na hiyo hali cause nikipita sehemu na kuwa kama mzimu uliofufukia kwenye mtaa uliozikwa kutokana na jinsi wanavyonishangaa. Sometimes inanilazimu kuingia chimbo kujikagua kama zipu ipo sawasawa au ndege ameninyea bila kujua ila najikuta nipo sawa. Nimevumilia ila nikaona si vibaya kuja kuuliza nini sababu ya watu kuwashangaa watu wengine pindi wawapo kwenye mishe mishe zao? Kama umewahi kumkodolea macho mtu mwingine sababu inakuwa ni kitu gani?

Asanteni!
Ukuwa na msambwanda wa hatari, si bure. Vinginevyo unayo nundu kama ya dume la ng'ombe.
 
Nashtushwa na hiyo hali cause nikipita sehemu na kuwa kama mzimu uliofufukia kwenye mtaa uliozikwa kutokana na jinsi wanavyonishangaa. Sometimes inanilazimu kuingia chimbo kujikagua kama zipu ipo sawasawa au ndege ameninyea bila kujua ila najikuta nipo sawa. Nimevumilia ila nikaona si vibaya kuja kuuliza nini sababu ya watu kuwashangaa watu wengine pindi wawapo kwenye mishe mishe zao? Kama umewahi kumkodolea macho mtu mwingine sababu inakuwa ni kitu gani?

Asanteni!

Mkuu hapo kwenye kujikagua, ushafikiria kujikagua chura? maana kwa kizazi hiki Only Chura ndio anayefanya watu wawe attention.
 
Wakuu wa baraza heshima kwenu,

Kila ninapokuwa watu wananikodolea macho kupita kiasi. Niwe mitaani, barabarani, sokoni au sehemu yoyote watu wananishangaa bila kujua nini sababu. Watoto, wazee, watu wa rika langu, watu wazima na wa jinsia zote wamekuwa wakinikodolea macho sana. Wengine wanakodoa kwa kujificha na wengine waziwazi.

Nashtushwa na hiyo hali cause nikipita sehemu na kuwa kama mzimu uliofufukia kwenye mtaa uliozikwa kutokana na jinsi wanavyonishangaa. Sometimes inanilazimu kuingia chimbo kujikagua kama zipu ipo sawasawa au ndege ameninyea bila kujua ila najikuta nipo sawa. Nimevumilia ila nikaona si vibaya kuja kuuliza nini sababu ya watu kuwashangaa watu wengine pindi wawapo kwenye mishe mishe zao? Kama umewahi kumkodolea macho mtu mwingine sababu inakuwa ni kitu gani?

Asanteni!
Labda unafanana na Masogange
 
Back
Top Bottom