Kila nikipika naungua

habari ya hapa

JF-Expert Member
Dec 20, 2012
12,791
8,743
Heshima kwenu mabibi Na mabwana popote mlipo, ni iman yangu kuwa mko bomba kabisa,

Km kichwa cha habari kinavyosomeka mwenzenu napata tabu sana kwakweli, mikono yangu iko Na alama alama hadi naboreka, nifanye nn ama nitumie njia gani pindi ninajipikia nisiungue, imefikia wakati hadi naogopa kujipikia sasa nimekuwa MTU wa mama lishe.

Ushauri wako ni wamuhimu uwe mzuri hata mbaya pia, asante
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…