Olumolongez
JF-Expert Member
- Dec 19, 2015
- 818
- 299
UKIMWI hauwezi kuisha duniani mpaka dawa yake ipatikane kwakua umekaa pabaya ambapo kila mtu anapanda hata vichaa wanapapenda ni sehemu ambayo hakiepukiki kutokana na mvuto.Dawa yake ni kupatikana dawa ya kuitibu tu.Kinyume na hapo atakayekiuka basi ni kwa Neema za Mungu tu.Anayebisha na aendelee kubisha.Pole sana mtoa mada umetuzindua wengi angalau tupate mda kidogo wa kutafakari.Kwa wale mnaotumia dawa zongatieni masharti ili muendele kuishi na kutimiza majukumu yenu kwa familia na jamii.