Kikwete wewe Ulikuwa Rais wa Nchi, come on, Man!

Yeye ndiye alidhihirishia umma wa watanzania urais kumbe siyo privileged kumbe Urais tu Bongo hata binti wa Chekekechea anaweza kuwa rais na mambo yakaenda vizuri tu. Kama JK kaweza urais bongo nani atashindwa? Ndio maana sasa hivi kila mtu bongo anajiamin anaweza kuwa rais. Usikute hata Mchiz Mox Joti Masanja mpoki na Nyamayao nao wana iyo ndoto.

He should be permanently locked up somewhere with the key thrown away!
 
Ulikuwa Raisi wa JMTZ, Amiri Jeshi Mkuu na Mkuu wa vyombo vyote vya Ulinzi na Usalama wa nchi hii, kwa kifupi ulikuwa kila kitu hapa TZ na hakuna uamuzi uliofanywa uliogusa nchi bila ya wewe kuridhia na ulikuwa kwenye hiyo nafasi kwa miaka 10, hivyo basi hauhitaji kuprove chochote kwa yoyote yule ndani ya nchi hii, nafasi uliyokuwa nayo ni nadra sana mpaka leo hii kwa zaidi ya miaka 50 ni watu watano (5) TU waliobahatika kuipata!

Hauhitaji tena kupata cheo fulani ili iprove chochote, nakushauri achana na media kama ukiweza hata waambie wasikuandike tena mara sijui Kikwete aula hapa, mara sijui Kikwete aalikwa pale inaleta picha kama kuna kitu unajaribu kuprove, achana na hayo mambo kuwa kama Mzee Mwinyi au Mkapa wamesemwa mangapi lkn hata siku moja hawakujaribu kumjibu mtu yoyote yule kwani wanajua kwamba kuwa Raisi wa nchi ni privilege ambayo wanapewa wachache sana Dunia hii na hao wanaopiga domo kamwe hawawezi kuipata!

You have a point man; tatizo ni mtu unayemshauri sio! 1) Ni mswahili per se na 2) He is carrying a "heavy" guilty conciense! Mwendo wa Magufuli unamfanya ajisikie vibaya kwamba he let the nation down kwa ku-adopt vijembe, mipasho na kejeli kama mbinu ya kuendesha serikali! Mambo yanayofanywa na JPM sio "rocket science"; alikuwa na uwezo wa kuyafanya pia bali akachagua kuisigina nafasi yake adimu na adhimu kuandika jina lake in indellible ink kwenye historia ya nchi hii! Ameiandika anyway japo by reverse mechanism!!
 
Aisee huyu Mkwere kaiharibu hii nchi...Mzembe haswaa

Mara mnasema tangu uhuru hakuna kilichofanyika mara Mkwere kaharibu Nchi!! Aliwezaje kuharibu nchi ambayo mnatuambia kila siku kuwa tangu uhuru ni mbofumbofu!! Basi walau mtuambie akina Mkapa wamejenga Nchi jk akaja kuharibu. ALIWEZAJE KUHARIBU NCHI AMBAYO NI MBOVU TANGU UHURU? Naomba kujua
 
Sijawahi kuona au kusikia Rais mzembe kama Mkwere.
 
Weee thubutu haha mkwele ukangeuze msukuma wapi na wapi hapo mwisho na vichambo watapewa haha
 
Hivi tezi dume Linatibiwaje..??
1453563184931.jpg
 
yote ni ma looters ila ya huyu jamaa wa msoga kiwira ni cha mtoto ni kama a drop in the ocean maamaee
naona umeendelea kuandika usenge wako kama kawaida. tuambieni huo ufisadi wa Kikwete tuungane wote kumsema. kama ni haya maneno matupu nyamazeni kama sisi wengine tulivyofanya. tunachelea kuita hizi ni chuki tu.
 
Sijawahi kuona au kusikia Rais mzembe kama Mkwere.

Jiulize ilikuaje Watanzania waliamua kumpa Nchi 'Mzembe' wakaacha wachapakazi? 'Uzembe' wa Jk ni aibu kwa Watanzania kuliko kwa jk Mwenyewe!
Mungu aliamua kutuletea Rais anaefanana nasi
1 ) Masihara muda wote
2) Kupenda sherehe kuliko kazi
3) Kupenda bata kuliko pitiliza
4) Kutopenda kujisomea
5) Kupeana Michongo kwa kujuana sio uwezo wa kazi
6) Kupenda kulikozidi kwny mambo yetu yaleee!

JK alijua ushamba wetu wa kupenda kurubuniwa na kushobokea watu kijinga jinga ndio sababu alikataa Mgombea alietumia mbinu kama zake 1995-2005.
Jk angeacha Demokrasia itamalaki kama alivofanya Mkapa basi muda huu Ikulu angekuwa Jk Part II offspring ya Wanamtandao.
TAIFA LILIMCHAGUA Jk 2005 KWA KUWA ANAFANANA vingi BONGO NA WAPIGA KURA HIVYO tuache unafki
 
Na ni kweli tungejua kuwa JK ndio zero hivyo na FISADI KUU lililojificha yeye na Mwanawe basi watz wasingemchagua.
 
Mara mnasema tangu uhuru hakuna kilichofanyika mara Mkwere kaharibu Nchi!! Aliwezaje kuharibu nchi ambayo mnatuambia kila siku kuwa tangu uhuru ni mbofumbofu!! Basi walau mtuambie akina Mkapa wamejenga Nchi jk akaja kuharibu. ALIWEZAJE KUHARIBU NCHI AMBAYO NI MBOVU TANGU UHURU? Naomba kujua
Na hilo neno
 
Kupimwa tezi dume lazima upigwa kidole kwenye masaburi!

Kwani tatizo liko wapi kuingizwa kidole mkunduni? Mbona kila siku unakunya tena kinyesi kina ukubwa zaidi ya kidole kinachoingizwa mkunduni wakati wa matibabu!
 
Back
Top Bottom