naikumbuka sana
ilikuwa kauli ya JK singida.......
sjui kwa nini JK alimhofia LISSU mtu ambaye uwezo wake unasaidia kutetea maslahi ya watz
Kwa wale waliobahatika kusoma gazeti la ----------- la leo kwenye kichwa cha habari nanukuu" Askofu huyu katumwa na nani?" mwaandishi kaandika kuwa kikwete alinukuliwa kwenye mikutano yake ya kampeni huko Singida kuwa
"Ni bora Dr Slaa kuwa raisi kuliko Tundu Lissu kuwa mbunge" hii hofu ya Muungwa kwa Tundu Lissu inatokana na nini?
Huoni pogba kila akilala anamuota lissu hku waziri wke anakuja na mikwara ya kyela ambayo kwa mjini haina chochoteMzee kikwete anaona mbali sana.Wengi alipotoa kauli hii bado hamkujua lissu vizuri.Sasa ndio kauli ya JK inaonyesha alichomaanisha.
JK aliwahi kusema".Kuliko Tundu Lissu aachwe aingie bungeni.Afadhali awe rais.
Haraka haraka watu hawakuelewa JK alimanisha nini.Ila leo hii wameanza kuelewa.
Tundu lissu kawa mwiba mkuu kwa serekali.Tundu lissu kaifanya TLS imekuwa maarufu.Mzee JK anayo maono.Ccm muwe mnamsikiliza msimpuze maoni ya mzee JK yana tochi kali sana.
Hawa vijana wanafurahisha na kushangaza sana!BAVICHA kwa kujifariji hawajambo!
Eti Jk alisema Bora Slaa awe Rais kuliko Lissu kuwa Mbunge
Ukiwauliza waweke ushahidi watakwambia ushahidi anao Gwajima na Mange Kimambi
Hawa vijana wanafurahisha na kushangaza sana!
Kwa sasa wamesahau kama wana Lowassa waliyekuwa wanamzungushia mikono wakisema, Lowassa Mabadiliko, Mabadiliko Lowassa.
Kwa Hiyo Lowassa nae anagombea TLS sio ?Hawa vijana wanafurahisha na kushangaza sana!
Kwa sasa wamesahau kama wana Lowassa waliyekuwa wanamzungushia mikono wakisema, Lowassa Mabadiliko, Mabadiliko Lowassa.
Kumbuka pia siyo muda mrefu walikuwa wanaimba na kutuambia Dkt. Slaa ni Rais wa mioyo yao.
Kumbe nyie ni wababuHawa vijana wanafurahisha na kushangaza sana!
Kwa sasa wamesahau kama wana Edward Lowassa waliyekuwa wanamzungushia mikono wakisema, Lowassa Mabadiliko, Mabadiliko Lowassa.
Kumbuka pia siyo muda mrefu walikuwa wanaimba na kutuambia Dkt. Slaa ni Rais wa mioyo yao.
Hilo swali muulize mleta mada?Kwa Hiyo Lowassa nae anagombea TLS sio ?
Hawa vijana wanafurahisha na kushangaza sana!
Kwa sasa wamesahau kama wana Edward Lowassa waliyekuwa wanamzungushia mikono wakisema, Lowassa Mabadiliko, Mabadiliko Lowassa.
Kumbuka pia siyo muda mrefu walikuwa wanaimba na kutuambia Dkt. Slaa ni Rais wa mioyo yao.
Hilo swali muulize mleta mada?
Kwani wewe ni BAVICHA?
Lowasa anaingiaje hapa au ndo zimwi linalotesa ccmHawa vijana wanafurahisha na kushangaza sana!