bandeko andeko
JF-Expert Member
- Oct 20, 2021
- 979
- 1,867
rejea kisa cha samson mtu mwenye nguvu nyingi....na derila.
Hakuna anayeamini!
Kikwete kwa Miaka kumi alishindwa kuizima CHADEMA na ilibaki kidogo Sana 2015 Akabidhi ofisi kwa upinzani.
Akaingia Magufuli, yeye ndiye akatumia zaidi mabavu na alishakiri hadharani anaenda kufuta upinzani kabla ya 2020 lakini alipata upinzani Mkali Sana kuwahi kutokea katika nchi hii.
Akashindwa!
Akaingia Samia, mwanamke ambaye kikawaida kulingana na jamii zetu mtu yeyote angeweza kumdharau.
Lakini Samia yeye nafikiri alisoma Mchezo wa Kikwete na Magufuli. Kikwete alitumia Njia peaceful kuikabili CHADEMA huku Magufuli akitumia Mabavu. Samia yeye style yake ni kudokoa huku kidogo huku kidogo yaani nguvu kidogo akili kidogo.
Uhakika uliopo ni kuwa CHADEMA imeshakatwa kichwa, Wachache wanajua ishaanguka. CCM wametulia kama sio wao, wananyonyoa manyoya tuu.
Yaani CHADEMA iliyoshindwa na wanaume Leo ndio hii Mwanamke kaipiga. Aiseeh!
Haya!
Uchaguzi ujao ni kheri asitie mguu maana hajawahi Kutokea mfano wake.
Tusubiri
Aiseehrejea kisa cha samson mtu mwenye nguvu nyingi....na derila.
Aisee
..kama Chadema imeangushwa kwa fedha basi mjue ni fedha za umma.
..kama Chadema imeangushwa kwa mabavu ya vyombo vya dola navyo ni mali ya umma.
..Samia kwa kutumia vibaya madaraka aliyopewa na umma ameiangusha Chadema.
..mimi nadhani hatupaswi kumsifia Raisi anayetumia vibaya madaraka yake.
Mbowe amechagua kumaliza mwendo kiboya sana.Kumsingizia Samia wakati mwenye kukifikisha chama hapa anajulikana hakusaidii.
Kwani hata public opinion imeshindikana kusomeka?
View attachment 3195147
Kwamba imekuwa Je?
Heriel ukisema umepewa kazi hiyo sawa,ila bado sana,kuku hanyolewi akiwa hai,na pia kuku hanyonyoji bila maji ya moto.Chemsha kwanza maji yakichemka acha kuwanyonyoa hao.Hakuna anayeamini!
Kikwete kwa Miaka kumi alishindwa kuizima CHADEMA na ilibaki kidogo Sana 2015 Akabidhi ofisi kwa upinzani.
Akaingia Magufuli, yeye ndiye akatumia zaidi mabavu na alishakiri hadharani anaenda kufuta upinzani kabla ya 2020 lakini alipata upinzani Mkali Sana kuwahi kutokea katika nchi hii.
Akashindwa!
Akaingia Samia, mwanamke ambaye kikawaida kulingana na jamii zetu mtu yeyote angeweza kumdharau.
Lakini Samia yeye nafikiri alisoma Mchezo wa Kikwete na Magufuli. Kikwete alitumia Njia peaceful kuikabili CHADEMA huku Magufuli akitumia Mabavu. Samia yeye style yake ni kudokoa huku kidogo huku kidogo yaani nguvu kidogo akili kidogo.
Uhakika uliopo ni kuwa CHADEMA imeshakatwa kichwa, Wachache wanajua ishaanguka. CCM wametulia kama sio wao, wananyonyoa manyoya tuu.
Yaani CHADEMA iliyoshindwa na wanaume Leo ndio hii Mwanamke kaipiga. Aiseeh!
Haya!
Kumsingizia Samia wakati mwenye kukifikisha chama hapa anajulikana hakusaidii.
Kwani hata public opinion imeshindikana kusomeka?
View attachment 3195147
Kwamba imekuwa Je?
Kuna mwalimu wangu aliwahi kuniambia kuwa ukitaka kufikisha ujumbe mgumu kwa mwanaume basi mtumie mwanamke. Mbowe anajulika ni mdhaifu sana kwa wanawake. Samia alitumia uana-ake wake ku-interract na Mbowe na kumlainisha. Mbaya zaidi akapenyeza na rupia. Hakuna combination mbaya inayoweza kumfanya mwanaume apagawe kama mwanamke na fedha. Hapo sijaweka na ahadi ya madaraka. Summary: Upande mmoja amekaa rais mwanamke wa kizenji, mwenye sauti ya ushawishi na macho ya kurembua na upande wa pili amekaa mwanamme wa kichaga toka Machame, mpenda vimwana na fedha bila kusahau madaraka. Unategemea nini? Magufuli alikuwa anatumia ubabe na pia hakuogopa wapinzani kwani alikuwa anatumia dola wakati wa uchaguzi. Kikwete alikuwa anauma na kupuliza na alitaka upinzani uwepo kwa faida ya nchi.Hakuna anayeamini!
Kikwete kwa Miaka kumi alishindwa kuizima CHADEMA na ilibaki kidogo Sana 2015 Akabidhi ofisi kwa upinzani.
Akaingia Magufuli, yeye ndiye akatumia zaidi mabavu na alishakiri hadharani anaenda kufuta upinzani kabla ya 2020 lakini alipata upinzani Mkali Sana kuwahi kutokea katika nchi hii.
Akashindwa!
Akaingia Samia, mwanamke ambaye kikawaida kulingana na jamii zetu mtu yeyote angeweza kumdharau.
Lakini Samia yeye nafikiri alisoma Mchezo wa Kikwete na Magufuli. Kikwete alitumia Njia peaceful kuikabili CHADEMA huku Magufuli akitumia Mabavu. Samia yeye style yake ni kudokoa huku kidogo huku kidogo yaani nguvu kidogo akili kidogo.
Uhakika uliopo ni kuwa CHADEMA imeshakatwa kichwa, Wachache wanajua ishaanguka. CCM wametulia kama sio wao, wananyonyoa manyoya tuu.
Yaani CHADEMA iliyoshindwa na wanaume Leo ndio hii Mwanamke kaipiga. Aiseeh!
Haya!
Siasa chafu za Afrika, zimepitiliza hata uchafu wenyewe. Hata watu wake wanafurahia namna wanasiasa wanavyofitiana, finally kufitiana kunaleta fitina hata kwenye maendeleo. Ndio maana maendeleo yao yanafanana na mipasho, nakshinakshi, ushambenga n.kHakuna anayeamini!