Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,745
- 40,882
Katiba ya Tanzania inapatikana hapa: http://www.tanzania.go.tz japo ni ya zamani sidhani kama vipengele hivyo vilifanyiwa mabadiliko..
BTW, I like your American accent.."pridy"..."parrry"...kwikwikwiiii
We Mwafrika wewe...yaani ungeliweka hapa hilo jina unge-ban-iwa (wangeku-ban)
kwi kwi kwiw,
just check your PM uone kwa nini name ya that guy I couldnt put it here!
Naahh,
Nisingeweza kuweka hilo hapa!
Sitaki kuwapa watu wanaopondea JF cha kuongea.
What do you think though, hilo jina linamfaa sana ndugu yangu hapo?
Bring it on woman! What more can I say? I'm a self-declared 'savage' (and not only that but a particularly 'vicious' and 'reckless' one for good measure). Now, not many run-of-the-mill folks can beat that! As for you: you are nothing but a deranged Kikwete-obsessed attention and cock-craving ho trying to pass off as a highly knowlesgsable anc informes social and political activist (and a very conscientous one at that) sista who's all down for the poor, downtrodden and marginalized folks in Tanzania. In other words: YOU AIN't NOTHING BUT A FRAUD!
I'm scared to say what I think about it here. I'll PM you. I don't want to be eaten alive...Now you got me shakin' in my boots...
Aksante Mwanakijiji!Katiba ya Tanzania inapatikana hapa: http://www.tanzania.go.tz japo ni ya zamani sidhani kama vipengele hivyo vilifanyiwa mabadiliko..
Najua mie sio mwanasheri lakini hii inaonyesha wazi nini awezalo lakini katika kupitia hiyo katiba sijaona 'Awezavyo'kuvunja baraza la mawaziri Kwa hiyo inamaana atatumia hiyo ibara 36(2) Au? Tusaidiane!Mamlaka ya kuanzisha na kuwateua watu wa kushika
nafasi mbalimbali katika utumishi wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano.
"36.-(1) Bila ya kuathiri masharti mengineyo yaliyomo katika
Katiba hii na ya sheria nyingine yoyote, Rais atakuwa na
mamlaka ya kuanzisha na kufuta nafasi za madaraka ya namna mbalimbali katika utumishi wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano."
"36.-(2) Rais atakuwa na madaraka ya kuteua watu wa kushika
nafasi za madaraka ya viongozi wanaowajibika kuweka sera za
idara na taasisi za Serikali, na watendaji wakuu wa naowajibika
kusimamia utekelezaji wa sera za idara na taasisi hizo katika
utumishi wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano, nafasi ambazo
zimetajwa katika Katiba hii au katika sheria mbalimbali
zilizotungwa na Bunge kwamba zitajazwa kwa uteuzi
unaofanywa na Rais."
Mawaziri na Naibu Mawaziri watashika madaraka yao kwa
ridhaa ya Rais, na watalipwa mshahara, posho na malipo
mengineyo kwa mujibu wa sheria iliyotungwa na Bunge.
Bring it on woman! What more can I say? I'm a self-declared 'savage' (and not only that but a particularly 'vicious' and 'reckless' one for good measure). Now, not many run-of-the-mill folks can beat that! As for you: you are nothing but a deranged Kikwete-obsessed attention and cock-craving ho trying to pass yourself off as a highly knowlegeable and informed social and political activist (and a very 'conscientous' one at that) sista who's all down for the poor, downtrodden and marginalized folks in Tanzania. In other words: YOU AIN'T NOTHING BUT A TOTAL FRAUD! BIYAAATCH!
JK ni kweli hawezi kuvunja bunge pale mnapotaka nyinyi bali atavunja bunge pale atakapoona kuna haja hiyo na atakapotaka yeye, maana yeye ndiye anayeshikilia msikani wa hii serikali.
SO YEYE KUVUNJA BUNGE MNAPOTAKA NYINYI, DONT EVEN DREAM ABOUT IT, OTHERWISE MTAKUWA MNAONGEA JUST FOR FUN TU !
Muungwana, my reading betweeen the lines ni anakuwa careful kwa kwenda pole pole,
1. Amewanyima Mtandao nafasi za ndani ya CCM,
2. Ameruhusu kamati za madini na Richmond,
Hizi kwangu ni important steps kuelekea kulitataua tatizo la viongozi wabovu, ninaaamini kuwa kuna cha moto kinakuja kwa viongozi wanaotuhumiwa na wale wabovu wote, na kiboko kinakuja hivi karibuni sana,
Kwanza ninampongeza rais kwa hizo hatua mbili muhimu, I understand kuwa the speed is unacceptable to some of us and I respect that too, lakini ninampa Kikwete kudos kwa at least kuanza somewhere,
Hakuna rais wa bongo aliyewahi kufanya aliyoyafanya Kikwete Dodoma majuzi, ninasema hakuna Mwalimu aliyafanya kwa kuwa-silence Jumbe, Seif Hamadi, Seif Bakari, kwa faid zake binafsi, lakini sio kwa taifa kama alivyofanya Muungwana,
I still believe in him, kwamba anazo gutts ambazo marais wetu waliopita hawakuwa nayo, na ninaaamini kioboko cha moto kinakuja kila mwananchi atashangaaa!, ingawa haitakuwa kwa speed ambayo wengi tunaitaka, kwenye mafisadi kuna ishu ya sheria ambayo inatakiwa kuheshimiwa sana na inaweza kumponza rais akienda macho juu, so far kwangu ni so good!
Ahsante Wakuu, tuendelee kukubali kutokubaliana, huku tukiheshimiana ndio ustaarabu na demokrasia yenyewe!
Rostam Aziz ni mbunge aliyechaguliwa na wananchi kama wewe na mimi, mkuu mbona unamuongelea kama a convict, wakati ni kiongozi ambaye hana makosa yaliyothibitishwa kisheria?
I understand kuwa unajaribu kuwa aggressive, lakini tatizo unakosa hoja za kimsingi, aliyoyafanya rais yanatosha for now Ikulu ni mahalai ambapo vichwa vinatulia sio kukurupuka tu kama wenda wazimu, mkuu serikali haiendeshwi na JF au mob justice, ndio maana rais ana washauri wengi ambao mimi na wewe tunawalipa mshahara kwa kodi zetu,
Please jaribu kuheshimu viongozi hata kama huwapendi, kwenye list ya mafisadi Rostam hayumo mkuu, ni mbunge aliyechaguliwa na wananchi, sasa usimuongelee kama ni mhuni tu wa mtaaani, ukomavu wa kuelewa siasa ni pamoja na kuheshimu viongozi wako walichaguliwa kihalali mkuu, na hii ni kwa CCM na hata upinzani!
Hivi kweli ni yeye alikuwa na final mandate ya kuwanyima uongozi au wajumbeAmewanyima Mtandao nafasi za ndani ya CCM
fine hii nampa respect japo amechelewa.Ameruhusu kamati za madini na Richmond,