Kikwete akagua Mradi wa Maji!

@Obuma,
Mtumbua majipu anapaswa kutumia akili nyingi Sana..kwanza kutengeneza mfumo wake kuanzia kwenye usalama i.e jeshi!!..pia kama hatoweza kuleta tume huru ya uchaguzi basi aipangue ile..na mwisho kabisa afanye yale aliyokusudia kuyafanya kwa kujamini huku akitengeneza mahusiano mazuri na chama kimojawapo cha upinzani au vyote!!!
 
Last edited by a moderator:

Yaani kama ulikuwa kwenye akili yangu
 
IMG-20151230-WA0103.jpg

IMG-20151230-WA0101.jpg

IMG-20151230-WA0096.jpg

IMG-20151230-WA0102.jpg

IMG-20151230-WA0100.jpg

IMG-20151230-WA0098.jpg

IMG-20151230-WA0107.jpg
Hakikua kipindi wala wakati mzuri kwa Mr Kikwete kuambatana na misafara kiasi hichi. Muda uliopo alipaswa atulie kwanza mpaka raisi aweke sawa mafile yake, kwa hali hii ya jana tu ametoka huko ikulu leo bado yupo ktk misafara ya hivi inaleta picha utawala wa serikali iliyopita bado ipo inaongoza nchi chini kwa chini na kuingilia mipango na baafhi ya issue zinazopangwa na serikali mpya. Mbona enzi za maraisi waliopita hapakua na vihoja hivi
 
Unauhakika bwana daata?Yeye ndiye muanzilishi hadi hapo walipofikia.Heshima ni jambo jema husimdhihaki mtu pasipokua na uhakika na husifuate mkumbo.Nchi ilimshinda?ulikuwa wapi si ungelimfuata ukamsaidia?
 
Kuna watu sasa wanataka kutuaminisha kwa chuki zao hata treni ikipinduka india basi jk ndie anahusika.. kwa jioindi hichi jk kama angeambiwa achague wimbo basi angechagua wimbo wa kundi la muziki la nchini irland(U2) "where the street have no name"
 
Nimeangali na kufuatilia mambo nimegundua Tanzania yangu ina serekali Mbili.Moja tunaijua ambayo ni halali na nyingine inafanyia kazi mafichoni.Hii ya mafichoni muda si mrefu kama system haitaikemea inaimeza serekali halali muda si mrefu.Tuupe muda wakati.
timuombe mungu atisaidie aisee
 
Kuna watu sasa wanataka kutuaminisha kwa chuki zao hata treni ikipinduka india basi jk ndie anahusika.. kwa jioindi hichi jk kama angeambiwa achague wimbo basi angechagua wimbo wa kundi la muziki la nchini irland(U2) "where the street have no name"
Unajua tangu ile shughuli ya kumfyeka "yule jamaa"kule dodoma watu wanamuona JK mchungu na sasa ni kama wanalipiza kisasi,ni kuwaignore tu kwa kuwa inajulikana kwamba "weak people revenge".
 
Hakikua kipindi wala wakati mzuri kwa Mr Kikwete kuambatana na misafara kiasi hichi. Muda uliopo alipaswa atulie kwanza mpaka raisi aweke sawa mafile yake, kwa hali hii ya jana tu ametoka huko ikulu leo bado yupo ktk misafara ya hivi inaleta picha utawala wa serikali iliyopita bado ipo inaongoza nchi chini kwa chini na kuingilia mipango na baafhi ya issue zinazopangwa na serikali mpya. Mbona enzi za maraisi waliopita hapakua na vihoja hivi
Ina maana hakuna wizara za hii shughuli au yeye alivyokuwepo hakuona hili suala? Idiotism ni inamsumbua sana
 
If this is the way how great thinkers think,I would rather not be a great thinker!Unasahau kuwa huyo ni mwenyekiti wa chama kinachounda serikali na kwa mujibu wa katiba yake chama kina wajibu wa kuisimamia serikali,sometimes ni muhimu kwa mwenyekiti wa chama afahamu nini kinachoendelea kwenye maeneo ya matukio ili aweze kuongoza vizuri kazi ya kuisimamia serikali asije akapigwa changa la macho-why don't you see this fact chief?!
Haya ndio madhara ya kuwa na katiba mbovu.... akakague asset za chama chake na sio za umma. Chama kitumie resources za umma kwa manufaa yake?? shwain
 
If this is the way how great thinkers think,I would rather not be a great thinker!Unasahau kuwa huyo ni mwenyekiti wa chama kinachounda serikali na kwa mujibu wa katiba yake chama kina wajibu wa kuisimamia serikali,sometimes ni muhimu kwa mwenyekiti wa chama afahamu nini kinachoendelea kwenye maeneo ya matukio ili aweze kuongoza vizuri kazi ya kuisimamia serikali asije akapigwa changa la macho-why don't you see this fact chief?!
Katika hiyo picha tuonyeshe aliyevaa hata t shirt ya chama.
 
Huyu mkweree ndio atakuwa obstacle nambari moja kwa Magufuli kutimiza malengo yake ama sivyo atamuwekea kiwingu ili awe one term president!! Magufuli ni lazima awe macho na mbinu za DHAIFU!!
 
Back
Top Bottom