ukwaju_wa_ kitambo
Senior Member
- Sep 15, 2024
- 146
- 166
MAKOMA
Makoma ilikuwa bendi ya muziki wa Injili kutoka nchi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
Makoma wanaimba kwa Kilingala, Kiingereza na Kifaransa, na wakati mwingine Kiholanzi na Ujerumani.
Makoma iliundwa na:
Nathalie Makoma
Annie Makoma
Pengani Makoma
Tutala Makoma
Duma Makoma
Martin Makoma
Patrick Badine
Papaa Letoni
Je? Ni wimbo Gani unaupenda kutoka kwenye kundi hili la nyimbo za injili kutoka DRC CONGO
ukwaju_wa_ kitambo
#FUNGUKA