Kikao cha mbunge wa Temeke(CUF) Abdallah Mtolea chazuiwa na Polisi

Vyama vya wahuni utavijua tu.Kila mtu msemaji,Sefu anatafuta kinguvu njia ya kukubalika bara.
Kafu jimbo jipya la ubungo wamechagua viongozi wao.Eti mwenyekiti wa kafu kinondoni amesema hatambui!!Hapo ndipo utaona kwamba hiki chama ni cha wahuni watupu
Uwe mkweli kwa dhamira yako mkuu kabombe , ili uishi kwa amani katika dunia hii,danganya vyoooote uvionavyo,vitembeavyo na vitaambaavyo,lakini usiidanganye dhamira yako.Dhamira huwa haidanganywi...Ukiidanganya inakusuta ndani kwa ndani,watu wataona unakonda tu,haumwi wala si kwamba unashinda njaa,bali una mgogoro na dhamira yako.

Ukiwa na dhamira hai na si butu,utakubaliana na ukweli kuwa ndani ya mgogoro huu wa CUF,chama chetu na dola vipo nyuma yake.Ule uvamizi wa jana,ambapo mmoja wa waliopigwa na kuvunjwa mguu ndio yule aliyekuwa miongoni mwa waliomuingiza Lipumba kwa nguvu ule mkutano wa Ubungo Plaza,ni mmoja wa walinzi wa Prof Lipumba,inakuwaje wanapanda mpaka ghorofa ya nne kufanya fujo bila "intelijensia" ya polisi kujua??

Hii movie inatengenezwa ili ionekane CUF wanapigana panapokuwa na vikao vya ndani,hivyo Polisi watachukua kisingizio ili kuzuia mikutano ya ndani ya CUF na Maalim Seif huku Tanganyika na Zanzibar.Tumemshindwa Maalim Seif toka kwenye sanduku la kura mpaka kwenye kuungwa mkono na wanachama wake.Kiukweli Prof Lipumba,msimamizi wangu wa Utafiti ananiangusha sana sana,amekuwa mtu wa kushauriwa na Kambaya?duuuh!!Kweli kila uchwao,kituko kipya huzaliwa Afrika
 
Lipumba akifanya kikao analindwa kama alindavyo binti mfalme, lakini Maalim Seif & co hawatakiwi kabisa. Kumbe ndio maana kuna mtu alishangilia mauaji ya polisi kule Kibiti!
 
Vyama vya wahuni utavijua tu.Kila mtu msemaji,Sefu anatafuta kinguvu njia ya kukubalika bara.
Kafu jimbo jipya la ubungo wamechagua viongozi wao.Eti mwenyekiti wa kafu kinondoni amesema hatambui!!Hapo ndipo utaona kwamba hiki chama ni cha wahuni watupu
Aliekwambia Seif akubaliki bara,nyie team Lipumbavu wasaliti ndio mnaovuruga cuf mafisi nyie
 
Mnafkiri seif bila cuf hawezi??? Seif alikuwa influencial tokea ccm mpaka alipojiunga na vuguvugu la kamahuru bado alishine sembuse ajitoe cuf??? Hata akihamia ACT au CHAUMMA bado 2020 hampati kitu zenji unless muibe tena
Tutamwibia nn c alishaziraga au
 
Hawa watu mbona hawaelewi imeruhusiwa mikutano ya wabunge wa majimbo husika kwani malim sefu naye mbunge wa kinondoni? Alikuwa anakwenda kufanya nini yeye afanye mikutano yake yandani.

We ni mjinga nn , kwaiyo mfano mbunge wa ccm akiwa na kikao Kinana hawezi kuhudhuria au????
 
Tutamwibia nn c alishaziraga au
Kma alizira mnamzonga wa nni???? Kuna haja gani ya kumtaja taja seif ilihali ameshazira as u claim na kuamza mtumia lipumba kuua chama???

Nyie mshajua mbarawa hatomuweza seif 2020 ndio maana ur doin all u can ili apambanishwe na mnyaa but sorry guys that wont happen not when seif's fellow UKAWA members r still alive
 
viwanda baadae! tumejikita kwanza kuhakikisha tunaiua CUF kwanza kwa gharama yyte
Viwanda baadayevsawa kabisa. Kuna faida gani kujenga viwanda kama kuna vyama visivyoeleweka vyenye sura ya ugaidi na udini? Bora wawanyoshe kwanza tujue moja. Maalim anataka Muungano wa Mkataba arudi kwao huku wabaki kina Lipumba kama nchi washirika sawa bin sawa. Seif anatafuta nne kama hapendi Muungano? CUF tunaitambua huku chini ya Mwenyekiti wake Lipumba na Kaimu Katibu Mkuu Maggie Sakaya; Seif alifukuzwa tayari aende kwao atafute muungano wa mkataba kutokea huko.
 
Uwe mkweli kwa dhamira yako mkuu kabombe , ili uishi kwa amani katika dunia hii,danganya vyoooote uvionavyo,vitembeavyo na vitaambaavyo,lakini usiidanganye dhamira yako.Dhamira huwa haidanganywi...Ukiidanganya inakusuta ndani kwa ndani,watu wataona unakonda tu,haumwi wala si kwamba unashinda njaa,bali una mgogoro na dhamira yako.

Ukiwa na dhamira hai na si butu,utakubaliana na ukweli kuwa ndani ya mgogoro huu wa CUF,chama chetu na dola vipo nyuma yake.Ule uvamizi wa jana,ambapo mmoja wa waliopigwa na kuvunjwa mguu ndio yule aliyekuwa miongoni mwa waliomuingiza Lipumba kwa nguvu ule mkutano wa Ubungo Plaza,ni mmoja wa walinzi wa Prof Lipumba,inakuwaje wanapanda mpaka ghorofa ya nne kufanya fujo bila "intelijensia" ya polisi kujua??

Hii movie inatengenezwa ili ionekane CUF wanapigana panapokuwa na vikao vya ndani,hivyo Polisi watachukua kisingizio ili kuzuia mikutano ya ndani ya CUF na Maalim Seif huku Tanganyika na Zanzibar.Tumemshindwa Maalim Seif toka kwenye sanduku la kura mpaka kwenye kuungwa mkono na wanachama wake.Kiukweli Prof Lipumba,msimamizi wangu wa Utafiti ananiangusha sana sana,amekuwa mtu wa kushauriwa na Kambaya?duuuh!!Kweli kila uchwao,kituko kipya huzaliwa Afrika
Kupigana na kutoana ngeu kwa wapinzani sio jamabo geni
Walianza NCCR mpaka mrema akatoka na Baibui Tanga
TLP Jaffu alichomewa moto gari lake
Chadema nusura zitto apoteze maisha,na hata alipokufa mama yake zitto chadema hamkwenda,mlikunywa bia kwa furaha
Cuf hii sio mara yao ya kwanza kutoana ngeu,ila safari hii sefu anaonekana kapata mjamja mwenzie,kakwama
Usiingize polisi wala ccm hapo.Kama cuf wamefanya mkutano wa ndani na hawakuomba polisi ulitakaje?
Ulimuona yule mwenyekiti alivyoacha meza kuu?hamorapa haingii kwa mbio zile
 
Mkuu let me assure you hamtofanikiwa katika hila zenu za kuumaliza upinzani..... we all know who is behind this conflict na mnayemtumia kuiua CUF dunia nzima inamjua ssa where on earth ukiite chama cha wahuni??? Mbona kabla huyo kibaraka wenu hajarudi CUF ilikuwa imeshamove on kwa kasi ya ajabu hadi kuwa chama chenye wabunge wengi zaidi wa upinzani!!!! Why lipumba arudi ndio vurugu zianze???
Hoja yako ni dhaifu mkuu zitto junior.
Kila mgogoro wa upinzani ukitokea mnasingiza ccm,ili mtimize azma yenu na muonewe huruma.
Mbona migogoro hii haitokei ccm,kwani nyie hamna uwezo wa kupandikiza migogoro ccm?Lowassa si bado ana masalia yake ccm?
Yote ni kwa sababu ya ubinafsi wa viongozi wenu,katiba mnazo tatu,moja ya msajili,nyingine ya waandishi wa habari na nyingine ya vikao mtakosa migogoro hapo?Taasisi zenu ni dhaifu na hampaswi kuaminiwa kupewa dola,mtasambaratisha nchi.
Chama makini kama ccm,huwezi kusikia migogoro ya kipuuzi kama hii,na ikitokea hawachelewi kuufyekelea mbali.
Nyie endeleeni kunyooshea kidole ccm.sie tunajenga madaraja na kupandishia wakulima bei za mazo.Tumeshaanza na korosho,tupo bize na bei za kahawa,Pamba na tumbaku halafu 2020 mlie mmeibiwa kura
 
Kama ni jimboni mwake wangemuachia tu sioni ubaya wa mbunge kufanya kikao ndani ya jimbo lake
 
Basi na hapo mtaanza kulialia tena... kwa jinsi wanavyopigana bora wasifanye vikao..
Ndo plan yenu? Mbona mna plan za kitoto kiasi hicho? Kwamba mtumie usalama wa taifa kuvuruga mikutano ya CUF kwa kisingizio cha fujo ili baadae mzuie vikao vyote halali na ikibidi mkifute chama cha CUF kwa mgongo wa fujo za Lipumba. Nway, hivi CUF ikifutwa wewe utapata nini zaidi ya ukandamizaji wa dola? utaponea wapi wewe na hizo elfu saba zako? Wana CCM wenye akili wanaihitaji CUF sasa kuliko wakati mwingine wowote. Wanaojua maana ya vyama vya sias kuwa watchdogs of the ruling class watanielewa. Whether wana CCM au opposition. Ila wewe, kwa upofu wa elfu saba (nasikia ni 3,000 sasa) utalewa, hutaelewa.Ruksa kutoa mapovu.
 
Back
Top Bottom