MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,619
- 21,363
Alikwama Samson mbele ya bibie Delila mpaka akatoa siri ya nguvu zake sembuse huyu mwanasiasa kijana? Haya mambo ni magumu ohoooo!!!Huenda alipagawa na msambwanda.
alafu sijui ata unafaida gani!
Akikua ataelewa huyo bado kindaMavi! Alikwama Samson mbele ya bibie Delila mpaka akatoa siri ya nguvu zake sembuse huyu mwanasiasa kijana? Haya mambo ni magumu ohoooo!!!
Ngoja tuone hii muvi itakakoishia ila safari hii ngosha might have bitten more than he can chew. Si kwa kukurupuka huku aisee halafu ishu yenyewe nzito na inayogusa mpaka maslahi ya wenye nchi. Tuwe na subira!Akikua ataelewa huyo bado kinda
Tusubiri mwisho wake..tupate cha kujifunzaNgoja tuone hii muvi itakakoishia ila safari hii ngosha might have bitten more than he can chew. Si kwa kukurupuka huku aisee halafu ishu yenyewe nzito na inayogusa mpaka maslahi ya wenye nchi. Tuwe na subira!
Hadi sasa hivi nani hajasisikia,Uongozi ni kazi kweli..
Hivi mke wa mpambanaji wetu, mungu wa dar akisikia tuhuma za huyu binti kupangiwa kajumba anapika kweli??
anapika,kula na kushiba kabisa!Uongozi ni kazi kweli..
Hivi mke wa mpambanaji wetu, mungu wa dar akisikia tuhuma za huyu binti kupangiwa kajumba anapika kweli??
hainaga,makombo ile...amejiuza south Africa mpaka wamemchoka huyo aliempamgishia nyumba huko Makongo sijui ana akili gani aisee....kiongozi mzima kumpangishia nyumba huyu ni kujidhalilisha tu
katoka kwa kajala,kahamia hukooDah!!!Jamaa anamke mzuri lakini bado anakimbizana na mikahaba.
Na amemdhalilisha Mke wake wa ndoa.. Kamuweka kimada kahaba mkubwa.. Wapopo wamechapa Sana lile shuzi Kule Sauzi...amejiuza south Africa mpaka wamemchoka huyo aliempamgishia nyumba huko Makongo sijui ana akili gani aisee....kiongozi mzima kumpangishia nyumba huyu ni kujidhalilisha tu