Rutayuga91
JF-Expert Member
- Sep 10, 2011
- 449
- 249
Hawafufuliwi wanafukuliwa bwana,si nimifupa yu hiyo hakuna jipya hapo,kweli shetani ana wafuasi wengi dunia hii
Usitukane watu na imani zao!! Wao wanaamini kuwa hivyo na kuona ni sahihi, na wewe unaamini unavyoamini wewe ni sahihi.
Mpaka leo hii hakuna mwenye uwezo wa kutuambia ni imani gani ni sahihi.
As long as hiyo ni imani yao. PLEASE WAHESHIMU!!