Kijana, usikubali kufanya ngono kinyume na maumbile; ni kilema cha maisha

Why apende kukaa na nyie while hampo like him ir why awe mnyonge mkiongelea such issues, do you know his story !. Do you think ni rahisi kwake!. I'm gay na sifanyi sex for money but reading this thread at this time of the night imeniumiza a lot
Sijui kwann nafsi imenisuta sana... Maana me ni Ostadh mtu wa dini dini sana mda mwingi vazi langu kanzu na tasbih mkononi!!!

Huenda huyu jamaa anapenda kukaa karibu sababu ya kujutia anachokifanya!!!
Akija na yeye huwa anajitahidi kuja na kanzu.....
Dah we umenifumbua macho
 
Alafu huwezi amini kuna wasenge wanatoa bure hata siyo mpaka pesa.

Niliwahi tongozwa na shoga mwaka 2016 nikataka nimpeleke police

😂😂 Me mwenyewe iliwahi nitokea 2021, alinifuata inbox mtandao x akaomba no me nikajua muhuni tu nikamgea

sasa nikashangaa ananiambia vitu sivielewi nilivojua ni shoga sikumpa muda tena hadi akaacha kunitafuta wanashida sana ule mtandao situmiagi sijui hali ikoje sasahivii
 
Why apende kukaa na nyie while hampo like him ir why awe mnyonge mkiongelea such issues, do you know his story !. Do you think ni rahisi kwake!. I'm gay na sifanyi sex for money but reading this thread at this time of the night imeniumiza a lot
IMG_20240422_233411.jpg
 
Mkuu unaweza kutueleza ilikuwaje ukawa gay au ndio ulivo zaliwa?
I'm not in a good shape kuongelea hilo deeply today cause huniumiza sana but as far as I can remember
I was just a feminine young boy and people wangecomment about my face, navyoongea or navyotembea and some wakaniita shoga na kunitenga while at that time I didn't even know anything about sexuality. I was born with that look and sikujichagulia but I thank God at that time niliyapitia yote mazito without kujiunga na destructive gay squads za mjini or having gay sex prematurely. I focused on me that even my first gay relationship niliipata online willingly unlike many other gays waliopata gay experiences at a young age
 
Sijui kwann nafsi imenisuta sana... Maana me ni Ostadh mtu wa dini dini sana mda mwingi vazi langu kanzu na tasbih mkononi!!!

Huenda huyu jamaa anapenda kukaa karibu sababu ya kujutia anachokifanya!!!
Akija na yeye huwa anajitahidi kuja na kanzu.....
Dah we umenifumbua macho
Your friend is feeling guilty and hopeless, he is not happy at all and maybe ana story anayotaka share but hawezi. As much as unavyomuhukumu he does the same to himself everyday
 
Why apende kukaa na nyie while hampo like him ir why awe mnyonge mkiongelea such issues, do you know his story !. Do you think ni rahisi kwake!. I'm gay na sifanyi sex for money but reading this thread at this time of the night imeniumiza a lot
Mkuu mbona unalia lia kana kwamba ushoga ni kilema??

Yaani unataka utuaminishe kuwa hukupenda kuwa shoga ila ndivyo ulivyoumbwa? Acha uchoko bro!!!
 
Back
Top Bottom