Kijana mwenye ujuzi wa kupika vyakula vyote vya kisasa anatafuta kazi Dar es Salaam

Mr Why

JF-Expert Member
Nov 27, 2019
1,724
3,304
Habari JF,

Je unahitaji mpishi mwenye ujuzi mkubwa wa kupandisha mauzo yako kwa kuongeza wateja wengi katika biashara hako?

Kama ndiyo basi yupo kijana mdogo mwenye ujuzi wa kupika vyakula vyote vya kisasa vyenye hadhi kubwa anatafuta kazi ndani ya Mkoa wa Dar es Salaam
Makazi ya kijana huyu ni Kimara, Dar es Salaam

Kwa yeyote mwenye Restaurants anayetafuta mpishi mwenye utaalamu mkubwa wa kutengeneza vyakula vyote vya kisasa basi Wasiliana na kijana huyu

WhatsApp
 
Mkuu haihitaji mtaji mkubwa sana kuanza biashara yake ya kuuza hata bites
Taratibu anaweza kupikia home na akazungusha kwa wateja hata maofisini

Najua watasema mtaji
Lakini wengi tulianzisha kwa mtaji mdogo tu na kukua
 
Ushauri mzuri sana mkuu
 
Back
Top Bottom