Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 943
- 4,458
Zipo familia zikipewa nafasi ya kuongoza damu lazima itamwagika kwa wingi sana kwenye Taifa husika. Siyo watu wakuleta baraka bali ni watu wanaoambatana na laana.
Zipo familia zikipewa nafasi wanaonungunika wanaongezeka ghafla. Manung'uniko yakizidi watu wanaacha kuombea kheri na hapo shetani upata mwanya wakulivuruga Taifa.
Tanzania tunapitia kwenye misiba mingi, tumeona Singida, Arusha, Manyara, DAr, Lindi, Njombe nk jinsi ajali zinavyoongozana. Haya yote ni matokeo ya kufanya usajili usiompendeza Mungu. Badala ya kuleta baraka tumeleta chukizo.
Tujifunze kusikia sauti ya Mungu. Nitoe pole kwa wale wote waliopoteza ndugu zao miezi mitatu iliyopita. Tumwombe Mungu atawale maamuzi ya viongozi wetu